Unaweza kumpima mwenzio maabara kama ana tabia ya kucheat!!

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Ni rahisi. Wanaume wenye 'gene' ya DRD4 wamegundulika wanatabia za kucheat, uncommited sex na uhuni wote.

So, wadada, chukua kitu chochote cha mwanaume wako kama mswaki, kitana, (ambavyo ashatumia) sperm au chochote wanakoweza kutoa DNA zake, peleka maabara, then utajua kuwa mkioana utakuwa wmenyewe au la. Na kama mshaoana utajua kama uko mwenyewe au mpo kadhaa...

Source;
Researchers Discover Infidelity Gene | Breaking News USA
 
mimi sitaki fanya hiyo kitu manake nampenda sana na siko tayari kumwacha kwa sasa.
 
tatizo ni kwamba wanaume wenye hizo makitu ndiyo wanaopendwa sana na wanawake. si umeona wa kwanza alivyocomment!!!!!!!!!!!!
 
mm nahisi kuna vitu vingi vya muhimu kuvipima kuliko hicho, mfano watu wengi wamebambikiziwa watoto na wangine wamedhulumiwa kids, je hili halitasaidia kuwaweka waathirika huru.
 
Wazungu wakikosa cha kuchunguza wanakuja na vitu kama hivi huku africa haisaidii kama wewe ni wa dini ya wake wengi hata ukijua huna la kufanya
 
Mambo gani tena ya kupimana pimana. Ukiona mwanamme katoka nje ni kwa sababu kuna kitu kinamiss kwako.
 
Back
Top Bottom