Unaweza kuishi na yupi kati ya hawa?

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Hakuna aliye bora kati hawa lkn mmoja kati yao ana afadhali na unaweza hata kuvumilia kero zake pale inapotoke kuwa pamoja ktk maisha. Kwa fikra zako ni yupi unayeza kuishi naye kati ya teja na shoga?
 
Mie nadhani teja,maana kuna wengine wanavuta lkn ni vgumu kuwastukia na ni watu wakubwa sana mbele ya jamii ,na pia unaweza kumpandishia bei akitaka kuvuta awe anakutuma wewe na unakula cha juu,ila shoga anaweza kukuambukiza hana mpango kabisa kimbiza yeye
 
positi zengine bana!

nilipita sehemu nikamsikia mshkaji analalamika juu ya teja, na kusema anaweza kukurejesha nyuma na kukutia umasikini. Na mtazamo aliyonao yeye ni afadhali ya shoga kwake kuliko teja. Dah, mi nipo tofauti na huyo kwasababu hizi,
1. Teja anaweza kutoa msaada ktk kazi nyingi ambazo shoga kwa uhalati na nyodo zake, huwa haziwezi (muhimu umtowe tu)
2. Shoga ana muonekano mbaya zaidi wa kimaadili. Hivyo ana uchozi mkubwa wa kumuharibu mtu kwa kutaka atekeleze shida zake pale anapowakusa wahusika wake.
 
Shoga, teja atakutia umaskini

hivi inakuingia akilini kuishi na mwanaume mwenzako ambaye badala ya kutoa yy huduma, akawa yy ndo anahudumiwa. Vyenginevyo labda ww uwe mtumiaji wa mtandao wa robo shilingi.
 
Dah, Bora Teja, ingawa itakubidi kutenga bajeti ya kumnunulia unga.. Ila shoga siyo kabisa:hand:
 
I prefer shoga, ukiwa na rafiki ambaye ni shoga, thay are so loyalty and so kind, will be there for u, ila akiwa adui yako, utaomba ardhi ipasuke utumbukie.
 
sss
kila
mmoja ana mashaka yake ningenda kiupande wangu hata 1 usichague kwani wote wanatia umaskini zaid.
 
Heaven forbid.....hakuna bora hapo!

inasema hivi.... "Hakuna aliye bora kati hawa lkn mmoja kati yao ana afadhali na unaweza hata kuvumilia kero zake pale inapotoke kuwa pamoja ktk maisha."
 
Kheri teja kuliko shoga maana vitendo vya kishoga viliiangamiza Sodoma na Gomora lakini siyo uteja.
 
hivi inakuingia akilini kuishi na mwanaume mwenzako ambaye badala ya kutoa yy huduma, akawa yy ndo anahudumiwa. Vyenginevyo labda ww uwe mtumiaji wa mtandao wa robo shilingi.

Wapo na tunaishi nao hata tukiwakataa
 
Back
Top Bottom