Unaweza kugundua nini hapa?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
21,AS36024,datavision.co.tz,jkikwete.com,jkikwete2010.com,jmkikwete.com,mail.jkikwete2010.com,mail.pmo.go.tz,nec.go.tz,pmo.go.tz,www.datavision.co.tz,www.nec.go.tz,www.pmo.go.tz%211AS2,0NET1,0PTR3,3A0,4A0,5A0,6A0,7A0,8A0,9A0,10A0,11A0,12A0,13A0%215.png
 
duh...nimekubali mtu wangu...nlikuwa sijagundua hiyo I.P address hapo...kumbe ndo zao!!?? majina mengi watu walewale!!
 
As it stands:: DataVision International HOLDS OUR COUNTRY'S DESTINY!

Ni jambo la aibu sana ku-host (Ofisi ya Waziri Mkuu :: Ofisi Ya Tume ya Uchaguzi ::) kwenye "backyard" ya DataVision!
 

DataVision International, founded and registered under the companies' law of the United Republic of Tanzania in 1998, has its headquarters in Dar es Salaam – Tanzania.
The company offers professional consulting services in Information and Communication Technology, Management Information Systems, Web and Mobile Applications, Statistics and Research.
DataVision is an outcome of the recognition that sustainable development can be accelerated by providing solutions that are requirement-driven, well researched, customised and professionally implemented using the enabling capabilities of modern technologies including Information, Communication & Mobile Technologies.
Since its establishment, the company has been fast growing in terms of delivery of services and customer base. The best part of the history of DataVision includes its ability to adapt to the fast changing demands of its clients, which is a function of several factors mainly competition, economical, political and social.
DataVision has been working seamlessly to create added value and synergies for clients, which has always resulted into practical and sustainable solutions.
Our Vision
To positively contribute to performance improvement using Information and Communication Technology.
Our Mission
To deliver
leading-edge, customer-focused, suistanable and affordable consulting solutions to​
Our Core Values
  • Knowlede
  • Experience
  • Dedication
  • Professional Integrity
 
Who are the people behind DataVision??????????? This will give us a clue on the integrity of the votes we will be casting on Sunday. It is shocking that the GoT do not have a server to host its organs' websites.

Ngoja nisiseme sana bila kuwa na uhakika na wamiliki wa DataVision, usikute ndo akina Shamte au Rostam, etc.
 
Who are the people behind DataVision??????????? This will give us a clue on the integrity of the votes we will be casting on Sunday. It is shocking that the GoT do not have a server to host its organs' websites.

Ngoja nisiseme sana bila kuwa na uhakika na wamiliki wa DataVision, usikute ndo akina Shamte au Rostam, etc.

Haya siyashangai. Nchi hii imekumbatia watu wachovu sana katika ICT, hata wale wachache waliomo wameoza kwa kuambikizwa!!! Ni ajabu na kweli serikali haina servers zake!!! Na ndo maana hata projects kama ya ID inakuwa na utata, kwa sababu hawataki kufanya kwa udadilifu wanahitaji kununua ili wapate chao!! Na kwa taarifa yako cha juu kwa serikalini ni mara nne ya original price. Dr. Slaa amesema kweli ni zaidi ya 70% ya bajeti inaelekezwa kwenye kuendesha serikali!!!

Sasa hapa siku DATA vision wakiamua cha kuamua si ni hasara kubwa!!!

Dawa yao ni kujitokeza kwa eingi to VOTE FOR CHADEMA!!!
 
Hata kama wanatumia BigIP bado ni risky sana kutumia IP moja kwa systems zote hizo.
 
This is very serious case that left unquestioned!

NEC????? I dont trust this institution
 
IP address: 72.249.185.225
Host name: datavision.co.tz

72.249.185.225 is from United States(US) in region North America
 
IP owner yuko Dallas USA, Hawa jamaa yaelekea wameunganishwa na jamaa wa colo4. Hiyo kampuni ni inatumia hiyo AS number. hii inamaanisha kuwa wana backup huko USA au wanatumia Internet from USA via Satellite.




 
Hata kama wanatumia BigIP bado ni risky sana kutumia IP moja kwa systems zote hizo.
bakia kuwa analytical wa habari za "Siasa" mambo ya Kitaalamu ya IT yaache....Unaweza eleza ni Risky kiasi gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom