Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

Hiyo ni next level ya mapenzi inamfanya mtu anadata mpaka anapitiliza alafu mtu sampuli hiyo akija kubwagwa anaweza kuwa kichaa, nadhani kila kitu kinatakiwa kiwe kwa kiasi

Yanini kujipa tabu bana,kula kitu roho napenda!
 
kwangu hii kitu ni mpya makamasutra yote na mijitabu yote ya loveguide na film zote hii ya kutawadhana naiskia kwako eiyer,ya mswaki nimeiona kune movie wazungu wanatuharibu jamani.
 
Hii ni mpya, sijawahi isikia popote, ndo leo naiona hapa JF
 
Usishangae sana mbona mwanao "akipuuuuuuuuuuuuuu" unamtawaza tena kwa mapenzi makubwa!
sembuse anayekupa nyaaaa!
nikimpata wa hivo ntampenda sana!
Dunia hii bhana unachokitaka ukipati!!

loh kutawazana nya jamani?
Kushara miswaki?
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mapenzi haya..... Tobaaaaaaaaaaaa
 
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?

You must be sick to accept her demands. Please tell her to observe proper hygiene - that is not love at all!!!
 
Usishangae sana mbona mwanao "akipuuuuuuuuuuuuuu" unamtawaza tena kwa mapenzi makubwa!
sembuse anayekupa nyaaaa!
nikimpata wa hivo ntampenda sana!
Dunia hii bhana unachokitaka ukipati!!

Unachokipata kinakera!!!!
 
mmmh.....hapana.....akiwa icu sawa....mzima...a a....

...oooh - am sory if u wuld feel ofended,inamana unataka kusema tangu uwe in sex relationship(kama ushawahi) jamaa yako hajawahi kukugusa/kukupasa takoz na kujikuta kaslide ndani ya ule mfereji unaotenganisha hizo takoz mbili kabla ya kulifikia la pili durin ur foreplay na ukatamani astoe mkono wake hapo au..,sabu naamini wanaume wote wanapenda sana kubonyeza zile sponji mbili za backyard na hakuna raha kwa mtoto wa kike bila kuguswa mferejini iwe analiwa au haliwi TIGO...
 
Back
Top Bottom