Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

Unaonaje tukianza na sisi hiyo style, ila uwe unanitawadha mimi tu! LMAO

Hakuna tatizo,kwani mbona najitawadha bana,hakuna tofauti kati ya mzigo wangu na wako.(hii ni kweli hata kama ikitokea kweli)
 
Hakuna tatizo,kwani mbona najitawadha bana,hakuna tofauti kati ya mzigo wangu na wako.(hii ni kweli hata kama ikitokea kweli)

Bwana haiswihi hiyo, na kushare mibrush hapana bwana; kuna njia nyingi za kumuonesha mpenzio unampenda na sio lazima kushika kinyesi. Mtawadhe wakati mnaoga, lkn sio baada ya kujisaidia!

Wengine ya kwetu, unaanza na tissue paper kwanza ndio unamalizia na maji.
 
Hapa Kaunga mna diskasheni gani? majilio yanakaribia tubuni na kuiamini injili!
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,niambie tatizo la kufanya hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Hapa Kaunga mna diskasheni gani? majilio yanakaribia tubuni na kuiamini injili!

Tunajadili namna ya kuboresha ndoa yetu,majilio has nothing to do with this!
 
Last edited by a moderator:
Hapa Kaunga mna diskasheni gani? majilio yanakaribia tubuni na kuiamini injili!

Nimeshabook maungamo kwenye Uzi wa pettycash, maana Asprin alisema atamdipu Simon Petro kunisemea!

Hubby amekuja na kitu mpya ya kuchambana. LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimeshabook maungamo kwenye Uzi wa pettycash, maana Asprin alisema atamdipu Simon Petro kunisemea!

Hubby amekuja na kitu mpya ya kuchambana. LOL
Unajua Kaunga, huyu hubby wako Eiyer bado mtoto mdogo kiasi kwamba anashindwa kutofautisha Mapenzi na Uhayawani.
 
Last edited by a moderator:
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?

Duh hii kweli kali ndo kwanza nimeisikia leo hii,sijui wote vipofu maana kama unaona hivi na ile harufu we nae unaitwa unaenda tu au huyo jamaa mapua hayana kazi?
Jamani ukute anatumia toilet paper
 
Unajua Kaunga, huyu hubby wako Eiyer bado mtoto mdogo kiasi kwamba anashindwa kutofautisha Mapenzi na Uhayawani.

Bwana sijakuita hapa unidhalilishie hubby wangu eeh, tutagombana ohohh! Ukubwa wake naujua mwenyeewe!

Ila nimecheka sana, na kila nikimuimagine huyo jamaa aliyeenda kuomba ushauri mbavu sina! LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimeshabook maungamo kwenye Uzi wa pettycash, maana Asprin alisema atamdipu Simon Petro kunisemea!

Hubby amekuja na kitu mpya ya kuchambana. LOL

Kheee! Haya nimeoshaona kule. Sasa mbona kazi ipo kqa hubby wako jamani. Anakutana na watu wa aina gani?
 
Last edited by a moderator:
mswaki huwa nashaa na Girlfriend mara nyingi tu lakini kumnawisha nyaa mh.... Hapo kwangu pagumu
 
Bwana sijakuita hapa unidhalilishie hubby wangu eeh, tutagombana ohohh! Ukubwa wake naujua mwenyeewe!

Ila nimecheka sana, na kila nikimuimagine huyo jamaa aliyeenda kuomba ushauri mbavu sina! LOL

Hahaha! Ndege wa aina moja huruka pamoja. Ushawahi ona njiwa kwenye kundi la kunguru? Kama alivosema Kaizer hapo juu, kama hubby ndo huyo kazi unayo. Next time atafuatwa kuombwa ushauri na rafikiye anayelazimishwa kuchamba mtetea kwa ulimi kabla ya kungonoka.
 
Hommie Asprin leo ni jumangapi vile?
 
Last edited by a moderator:
Kinyaaaa, kinyaaaa na kinyaaa!

Kinyaaaa kinatokana na tafsiri mbovu na ya kijamii kuhusu mambo fulani including taka zitokazo mwilini.Mawazo potofu.Mbona wanaozibua vyoo hawapati shida?
 
Hahaha! Ndege wa aina moja huruka pamoja. Ushawahi ona njiwa kwenye kundi la kunguru? Kama alivosema Kaizer hapo juu, kama hubby ndo huyo kazi unayo. Next time atafuatwa kuombwa ushauri na rafikiye anayelazimishwa kuchamba mtetea kwa ulimi kabla ya kungonoka.

Ha ha ha, mbavu zangu na machozi yangu mie!
Naona wewe na Kaizer mnayapiga vita mapenzi yangu kwa Eiyer, au kwa vile nilikuchomolea nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom