Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?
 
Duuuh.... Kweli kuishi kwingi kuona mengi... Mmmh, mie hizo biashara za kumtawaza mtu mzima kwa kweli na hayo mapenzi yafe kwani siwezi kabisaaa... Ila suala la mswaki kwangu naona ni kawaida na ilishatokea mpenz wangu kutumia mswaki wangu wala sikuona tatizo...
 
Jamaa si alikuwa akimwita baby,baby...Msichana akajifanya ni baby kweli,akaomba kutawazwa kama watoto...
Hii imepitiliza sasa hayo siyo mapenzi ya kawaida mkuu.
 
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?

hahahaha teh teh teh,uwiiiiiiíii. . . . .aaah kama kuachana tuachane,cwez kushka nya mimi.
 
Yawezekana huyo dem analiwa tigo sasa pindi jamaa akimtawaza anahisi kama xxxxxxxx inamsugua.baada ya mda mfupi jamaa asubiri kuambiwa amtawaze kwa kutumia xxxxxx
 
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer nimeona nikushirikishe jambo hili maana najua utanishauri,mpenzi wangu ana ka tabia kanakonikera sana,amekua na kawaida kila akija kulala hapa,akienda haja kubwa huniambia eti nimtawaze maana hayo ni mapenzi na anajisikia furaha nikifanya hivyo,nimekuwa nikifanya kama anavyotaka lakini naelekea kushindwa,halafu pia ana tabia ya kutumia mswaki wangu kila anapolala hapa,nimemnunulia wake hautumii eti anaonesha upendo,jambo hili silipendi sana,sijui unanishauri nini"?Dah!Nilimuuliza kuhusu anavyojua maana ya upendo,na baadae nilimshauri na akaenda.Dah!Nilichogundua mapenzi yana changamoto zake na kamwe usije kudhani unayajua.Pia kama unadhani huu ni mzaha umekosea sana,ni bora ukafikiri upya.Lililogumu kwako ni jepesi kwa mwenzo,kuna jamaa aliwahi kuniomba ushauri kuhusu tabia yake ya kupenda kulamba mlango taka wa mpenzi wake kila wakutanapo kimwili kama kuna ubaya,uchafu ni msamiati wenye tafsiri inayokinzana miongoni mwetu,Sasa hebu fikiri utafanya nini ukikutana na mpenzi wa aina hii?

Kwetu huwa wanasema kwanza 'asee' yaaani hilo la kutawazana litakuwa ni gumu, kwangu hilo halipo. hilo la mswaki ni sawa naweza kushare nae mswak kama unamuamini.
 
Kijana acha mambo zako mapenzi ya kushika nya?? Mmhhh hiyo ngumu aiseee dah nimechekaje mie
 
Kwetu huwa wanasema kwanza 'asee' yaaani hilo la kutawazana litakuwa ni gumu, kwangu hilo halipo. hilo la mswaki ni sawa naweza kushare nae mswak kama unamuamini.
kushare mswaki ni uchafu na kutawazana huku mkiwa si wagonjwa ni kichaa

good to have a love lounge but sick to just write any crapp
 
Mimi hata kitendo cha kufikiri tu kuwa katoka chooni kwa shughuli hiyo huwa inapunguzia mzuka! Sasa ndio lije la kushika 'nnya' tena!
 
Jamaa si alikuwa akimwita baby,baby...Msichana akajifanya ni baby kweli,akaomba kutawazwa kama watoto...
Hii imepitiliza sasa hayo siyo mapenzi ya kawaida mkuu.

Ni kawaida kwa anaekubaliana na hayo!
 
Back
Top Bottom