Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
kwa kawaida mgonjwa hutokea nyumbani>dispensary>health centre>district hospital>regional hospital(specialists)>referal hospital(specialists)>specialized hospitals(super specialists)mtiririko huo hapo juu unaonyesha mpangilio wa matibabu ya mgonjwa na kila unapopanda ngazi ndivo unavyokutana na magonjwa magumu na ya ajabu.it is very rare kwa specialist(labda yuko kwenye research) kukutana na mgonjwa wa malaria,mara nyingi mgonjwa huyu huishia level ya dispensary au hata duka la dawa la fundi mchundo.sasa mbumbu kama wewe hutaki daktari bingwa aekewe Ct scan ili asubiri kufunga vidonda na kutibu malaria!!kama huelewi nitakutafutia michoro kilaza mkubwa we.
Asante sana kwa kunifahamisha yote haya maana ni maguimu mno kuelewa mtu kama mimi. Swali langu ni dogo, na linatokana na ulichokisema awali, je specialist ana jua kufunga vidonda na kutibu malaria? Na je kila specialist anahitaji CT scanner? Na je, bila CT Scanner, basi specialist hawezi kutoa huduma?
Amandla........