Unawaelewaje Wana-JF Hawa......?

I am now getting scared.... au Maskini_Jeuri unanifahamu? Kwa kifupi none is untrue, lakini kugombea aisee...bado nipo nipo kwanza...

Dada mimi ndio nilikuwa wa kwanza kushtushwa kuwa huenda members wa3 waliomo humu wanonifahamu wamekunong'oneza! Ukiacha issue ya family ambayo haijifichi!

Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa hoja zako; si vibaya nikasema hata kama huwa sikubaliani na msimamo wako mara nyingine lakini huwa nakubali namna unavyozijenga! Napenda hiyo style yako; you don't urge for the sake of urguing; unaelimisha! Wewe na wengine kama wewe mnatufunza na hakika nikupe moyo ; tunaokuelewa tunafaidika! Hivyo ongeza bidii! Tanzania inajengwa na sisis wenyewe!
 
PakaJimmy

Mkali (strict) - sio kwa sababu ya avatar yako, no,
Ana huruma,
Mweusi, amekwenda hewani kidogo
Ana wivu sana kwa girlfriend wake
 
Msanii
Mtu wa makamo na mcheshi sana.
Namuona kama mtu asiyependa shari na anaipenda familia yake.
he he he he he hapo bold ndo maana sitaki kuingia siasa.
ila nina wasifu mmoja mkuu. MIMI NI MSANII KIUKWELI.

PRETY
Not much prety
Married whilst looking the other man
Msimamo endapo atapata right candidate


BINTI MARINGO
Binti anayeendelea kukua,
Mchangamfu mpenda watu,
Msimamo wa maisha upo

WOS
Makamo woman
Msomi
Mwanafamilia
Anapenda kukabili changamoto

GAIJIN
Mbishi period!
 
Msanii
Mtu wa makamo na mcheshi sana.
Namuona kama mtu asiyependa shari na anaipenda familia yake.
he he he he he hapo bold ndo maana sitaki kuingia siasa.
ila nina wasifu mmoja mkuu. MIMI NI MSANII KIUKWELI.

PRETY
Not much prety
Married whilst looking the other man
Msimamo endapo atapata right candidate


BINTI MARINGO
Binti anayeendelea kukua,
Mchangamfu mpenda watu,
Msimamo wa maisha upo

WOS
Makamo woman
Msomi
Mwanafamilia
Anapenda kukabili changamoto

GAIJIN
Mbishi period!
 
PakaJimmy

Mkali (strict) - sio kwa sababu ya avatar yako, no,
Ana huruma,
Mweusi, amekwenda hewani kidogo
Ana wivu sana kwa girlfriend wake

Huyu ana mke au G/F binamu hebu tuambie status yako kama iko single looking?
 
1.Nyani Ngabu.......hawapendi wenye tabia mbaya,mcheshi,anapenda familia
2.NDIBALEMA........Msomi,mtu wa makamo. Mdadisi, inteligent
3.Gender sensitive.. Mtu makini,asietaka jinsia moja kuinyanyasa nyingine,mpole.Mwangalifu.
nitaendelea baadae kidogo.


Nimekupata Tall.Asante for the compliment.Vipi upo lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom