Unawaelewaje Wana-JF Hawa......?

1.Nyani Ngabu.......hawapendi wenye tabia mbaya,mcheshi,anapenda familia
2.NDIBALEMA........Msomi,mtu wa makamo. Mdadisi, inteligent
3.Gender sensitive.. Mtu makini,asietaka jinsia moja kuinyanyasa nyingine,mpole.Mwangalifu.
nitaendelea baadae kidogo.
 
Nyuki
ana miguu mikono na mabawa
anaishi kwenye mizinga
ana react sana akichokozwa.!
ni mtamu sana kwa zao lake
yupo tayari kufa ili mradi ampande malikia.!
 
Nahisi hapo kwa Mariz Roza umechemsha, maana mpaka sasa hatuna uhakika na jinsia yake....!!!
HUJAKOSEA. ngoja nihamie kwako,umejileta mwenyewe.
MASAKI: mtu makini,anajua mambo mengi,mstaarabu,mwandishi wa habari,mwenyeji sana wa Dar. Yaani born town au mtoto wa mjini.mwenye busara.
 
Msanii
Mtu wa makamo na mcheshi sana.
Namuona kama mtu asiyependa shari na anaipenda familia yake.
 
HUJAKOSEA. ngoja nihamie kwako,umejileta mwenyewe.
MASAKI: mtu makini,anajua mambo mengi,mstaarabu,mwandishi wa habari,mwenyeji sana wa Dar. Yaani born town au mtoto wa mjini.mwenye busara.

Masaki born town nakubali
 
KOBE; anapenda utani,anajifanya hajui kItu kumbe anajua.MJANJA.
 
Hee kumbe kuna kunyambuliwa huku? Kwangu umepatia zote isipokuwa kwenye uchaga,uwise na umbo la wastani. Tena nitake radhi kabisa mwenzio Bajaj sipandi ati- nimejaaliwa mwili!! tembo mtoto!
 
HUJAKOSEA. ngoja nihamie kwako,umejileta mwenyewe.
MASAKI: mtu makini,anajua mambo mengi,mstaarabu,mwandishi wa habari,mwenyeji sana wa Dar. Yaani born town au mtoto wa mjini.mwenye busara.

Tehetehetehe! Umepatia kiasi, umekosea kwenye fani yangu na huo u-born town...Kwa kifupi nimekuja mjini juzi juzi tu hapa nikitokea Kilosa! Tena nimekuja na mbio za Mwenge.:rofl:
 
Hee kumbe kuna kunyambuliwa huku? Kwangu umepatia zote isipokuwa kwenye uchaga,uwise na umbo la wastani. Tena nitake radhi kabisa mwenzio Bajaj sipandi ati- nimejaaliwa mwili!! tembo mtoto!

Hahahahahah! Binti umenichekesha sana!
 
Jamani sweetheart wangu Nyamayao msiweke profile yake tafadhali, watu wasije wakaniibia bure!
 
Hee kumbe kuna kunyambuliwa huku? Kwangu umepatia zote isipokuwa kwenye uchaga,uwise na umbo la wastani. Tena nitake radhi kabisa mwenzio Bajaj sipandi ati- nimejaaliwa mwili!! tembo mtoto!

Sorry, kumbe umeshiba? hongera sana
 
Tall is Short
ulijuaje? yaani ni mfupi kuliko maelezo,nikicheza bluzi na patina, patner wangu yeye huishia kunikumbatia kichwa!!!!!!!!!!!!!!!.mhhhhhhhhhhh labda nipande juu ya box
 
Hahahahah! Hivi bluzi kwenye madisco ya shuleni bado zinapigwa? Duh! Enzi hizo ukibahatika kucheza bluzi na demu kwenye disco la shule basi wewe bonge la mjanja!
 
ulijuaje? yaani ni mfupi kuliko maelezo,nikicheza bluzi na patina, patner wangu yeye huishia kunikumbatia kichwa!!!!!!!!!!!!!!!.mhhhhhhhhhhh labda nipande juu ya box

Ukicheza SEREBUKA ya TBC nadhani ndio ungekuwa unakanyagwa kila wakati na patner wako.Kama ni she wangekupanga na Hemed au mcheza basketball na kama ni He ungepangwa na jini kabula.
 
Hahahahah! Hivi bluzi kwenye madisco ya shuleni bado zinapigwa? Duh! Enzi hizo ukibahatika kucheza bluzi na demu kwenye disco la shule basi wewe bonge la mjanja![/QUOTE]

Na mambo yanaharibika.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom