unavua chupi?

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Kichaa alikuwa amevaa miwani jicho likawa linamuwasha. Alipokuwa akijikuna akawa anakuna juu ya miwani ndipo dada mmoja akamuambia si uvue hiyo miwani ndio ujikune? Yule kichaa akamuambia "Hebu niache huko,kwani wewe ukitaka kujikuna **** unavua chupi?"
 
ha ha haaaaaaaaaaaa ha haaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie lol

umetengeneza siku yangu bro!!
 
lohhh ngoja niende kwanza town nkatafute mbavu hata za kichina za spare,,u've made ma day!!!!
 
Kichaa alikuwa amevaa miwani jicho likawa linamuwasha. Alipokuwa akijikuna akawa anakuna juu ya miwani ndipo dada mmoja akamuambia si uvue hiyo miwani ndio ujikune? Yule kichaa akamuambia "Hebu niache huko,kwani wewe ukitaka kujikuna **** unavua chupi?"
Kweli nimeamin ukichaa sio tu kupungua kwa maakili.....huyu kichaa inaonekana maakili yamemzidi....ahahahhah...thnks kiongozi.
 
mhh hiyo kali kama ingekuwa ukitaka kujikuna mpaka iwe hivyo mbona ingekuwa shuhuli humu mitaani
 
Kweli nimeamin ukichaa sio tu kupungua kwa maakili.....huyu kichaa inaonekana maakili yamemzidi....ahahahhah...thnks kiongozi.

Ni mara chache sana kupigwa swali na kichaa na ukaweza kutoa jibu kuthibitisha uko na akili timamu.
 
Back
Top Bottom