Elections 2010 Unaupa point ngapi mdahalo (hotuba) ya JK? - Toa sababu...

10 ya mia, jamaa anaboa sana kwa kweli. Hivi jamani hakuna ndchi hii inachoweza kufanya yenyewe kila kitu azima tupate toka kwa wahisani??? Kila fanikio aaloeleza nilakutoka kwa wahisani na yeye anaona amefanya kazi kweli! Anadisapoint, kibonde amuuliza swali la 2025 yeye anazungumzia mawasiliano badala ya uchumi, elimu na afya n.k,Anaulizwa swali la afya yeye anpiga stri binafsi zake na dactari gani sijui waliokutana huko alikokua ankula bata!!
 
Mwandishi mmoja wa habari aliekuwepo jana akiri maswali yalipelekwa mapema JK aandae majibu. Kazi tunayo tz dhidi ya huyu rais wetu.
 
Lile lilikuwa igizo, maswali yaliandaliwa na Kinana na Kingunge, wakaandaliwa waulizaji, JK akafundishwa namna ya kujibu akafanya mazoezi kwa zaidi ya siku 5, lakini ameshindwa badala yake kikazuka kigugumizi, nampa alama 5 kwa 100. BURE KABISA, NI MAAFA KWA TAIFA KWA HUYU KIUMBE KURUDI IKULU
 
kwa kuwa hakuanguka nampa 1%

competence= 0%
performance= 0%
vission= 0 %
uongo = 99%
hadithi za sungura na fisi= 100%

HAFAI KABISA:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Back
Top Bottom