Unaujua uzito wako?kama hujui pima uzito wako hapa bila kutumia mzani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
habari yako mwana jf.
unataka kujua kilo zako?
fanya hivi;
pima ulefu wako kwa sentimeta halafu utoe 100.jibu utakalo pata ndo kilo zako.kama zitapungua kula ziongezeke ,kama zinazidi zipunguze.
mfano;urefu wako kutoka kichwani hadi kwenye visigino ni cm 160.ikitoa mia inabakia 60.hiyo 60 ndo kilo zako zinazotakiwa mwilini.fanya hilo zoezi.
keep it 100.halafu leo sijapata likes za kutosha naomba unigongee baada ya zoezi.mia
 
It is one way, kuna zingine nyingi ila zote zimesimamia standard za "Caucasians" (wazungu). kwa waafrika, density ya mifupa iko juu kidogo. alafu mtoto alie na 40 cm, unapimaje? au mtoto wa 1,10 m, unampimaje?
Inamapungufu mengi ila iko valid kwa GENERAL consideration.
 
mkuu hii inawahusu wana jf tu.nlijua hayo.kila kitu kina faida na hasara.mia
 
NIna urefu wa sm178 kwa hiyo ilitakiwa niwe na kilo 78 kwa mujibu wa kanuni yako hii. lakini niliposimama kwenye mizani ikasoma kilo 98, hii inakuwaje mtaalamu?
 
habari yako mwana jf.
unataka kujua kilo zako?
fanya hivi;
pima ulefu wako kwa sentimeta halafu utoe 100.jibu utakalo pata ndo kilo zako.kama zitapungua kula ziongezeke ,kama zinazidi zipunguze.
mia

mkuu salaam, ama baada ya salam rejea kichwa cha habari hapo juu. sasa nilitaka kujua hoja ya kama kilo zimeongezeka ama kupungua inatokea wapi ilhali umetuambia tuujue uzito wetu bila kutumia mizani? Je unakiri kwamba haiwezekani kufahamu tofauti ya uzito ulio nao na unaotakiwa kuwa nao bila mzani? Mia
 
Cjaona ukweli ndani yake maana dogo ana 50cm je nikitoa 100 atakuwa na weight -50?
 
Cjaona ukweli ndani yake maana dogo ana 50cm je nikitoa 100 atakuwa na weight -50?

hahahaaa...!!mkuu umenichekesha sana.huyo dogo yupo humu jf?sababu hii inahusu wana jf tu.nigongee ka like basi na wewe!.mia
 
Mkuu me sipingani na hoja, lakini ili kuongeza uelewa nina swali. Je kama nina urefu chini ya sentimita mia?
 
Back
Top Bottom