Unategemea kupata mtoto karibuni?

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
Kwa wale wanaotegemea kupata watoto hivi karibuni basi nimewarahisishia kuwaletea list ya majina ili muweze kuchagua - huwa kuna kazi kidogo wakati wa kuchagua jina la mtoto hasa akiwa first born.

BABY BOYS
Junior
Ivan
Ian
Allan
Allen
Euegene
Glen
Ryan
Gavin
Jordan
Alvin
Phil
Rio
Bill
Ryan
Gavin
Jordan



BABY GIRLS
Cherish
Careen
Doreen
Roxanne
Oprah
Ashlee
Joan
Aileen
Rohan
Joslyn
Maureen
Cowen
Raina
Doreen
Roxanne
Rihanna
 
teh teh teh, majina ya kifipa unaweza kumpa tu kama unataka - ni uamuzi wa mzazi.
 
umesahau Lusekelo, Amani, Muumini, Sikudhani, Semeni, Havijawa, Mkegani nk
 
juma, buraji, ngwilulupi, kingwangwala, mushumbuzi, chepe, kitila, dundulu, mwanamkasi, kimba, chamshama
 
Kwa wale wanaotegemea kupata watoto hivi karibuni basi nimewarahisishia kuwaletea list ya majina ili muweze kuchagua - huwa kuna kazi kidogo wakati wa kuchagua jina la mtoto hasa akiwa first born.

BABY BOYS
Junior
Ivan
Ian
Allan
Allen
Euegene
Glen
Ryan
Gavin
Jordan
Alvin
Phil
Rio
Bill
Ryan
Gavin
Jordan
Jason
Kelvin



BABY GIRLS
Cherish
Careen
Doreen
Roxanne
Oprah
Ashlee
Joan
Aileen
Rohan
Joslyn
Maureen
Cowen
Raina
Doreen
Roxanne
Rihanna
Sharleen
Jolen
Marian
 
mi nishachaguliwa

KUTETERE: YAANI ASIETONGOZEKA KAZI KWAO WALAFI
 
Achana na ya kizungu, mkuu kuna akina kadoda, la kike hilo, kabufu la kiume hilo. mpoki, masumbuko, mateso, hahaaa si mchezo
 
Kwa huku mtaani kwetu ya kidhungu ni kama: Shiida, Matatizo, Mateeso, Maisha, n.k
 
........Bryan mbona sijaliona hapo? Nalipenda hili jina, nikipata mtoto wa kiume tu hili ndio jina lake.
 
KUNA majina kama Kadadaa, Kibibi, ....kwa wasichana
Halafu kuna Babu, Mzee ( ati haya nayo ni majina unampa mtoto wako wa kiume!)
 
Thank God sijaona majina haya kwenye list

Boys

Leeroy
Lartell
Tyrone
Eugene
Derek
Shawn
Antwone
Marlon
Dante
Shaquelle
Cyrill
RayShawn

Girls
Daniqua
Bunifah
Laquanda
T'china
Monique
Lativa
Shaniqua
Latoya
Shantell
Shawna
Kidada
Sharissa
Tamika
Tyra
Shaquika
Na"Bushe
Tawanna
La'keisha
Tionne
 
Tatizo umetuwekea yote ya kidhungu habu weka ya makabila mbalimbali tuchague ..
hayo ya Kina Rihanna ,Roxanne bibi yao atashindwa kutamka
 
Back
Top Bottom