Unatamani kuwaona akina nani humu?

Aaaah nimemsahau Katavi.......hahah avatar yake inanifurahisha sana..... sijui na yeye anafanana hivyo!!
 
Mimi.....wa kwanza kabisa natamani ikumuona "Superman" coz huyu jamaa huwa nasoma posts zake mara nyingi na muonekano wake unaelekea ki-superman kweli just like the superman himself......

Then ningependa kuwaona hawa: Aspirin, Nyani Ngabu, The Finest, Beauty....... mmh have always wondered ile avatar kama ina uhusiano wowote na muhusika......heee!

Pia; Firstlady, Invisible!! japo sijui kama hapo panawezekana..... Lakini kama ningepata nafasi ya kuwaona: Rev Masa na Fidel80
ningefurahi sana......:smile-big:

Haya mkuu nitakuPM
 
Mie naona Askofu atanibariki kwa baraka za Bwna.Hivo tuonane Baba askofu....

Karibu sana mpendwa... tutaimba ule wimbo mpya... wimbo wa Sayuni...:pray2::pray2:

Askofu safari hautakuwa VATICAN?

Nitakuwa hapa kwa ajili ya kuongoza misa ya mkesha kwa ajili ya kuomba amani... unakaribishwa... kuna divai...:welcome:

Itabidi upate fuuuull baraka kutoka kwa Maaskofu wote kwa mpigo i.e Baba Askofu na Rev. Masanilo,

Baraka atazipata, in Jesus name...:amen:
 
Mpwa taratibu mm nimesha kutime hapa niachie mm wewe endelea na wengine
Dah! kamanda ushaniwahi mara?

Mimi.....wa kwanza kabisa natamani ikumuona "Superman" coz huyu jamaa huwa nasoma posts zake mara nyingi na muonekano wake unaelekea ki-superman kweli just like the superman himself......

Then ningependa kuwaona hawa: Aspirin, Nyani Ngabu, The Finest, Beauty.......mmh have always wondered ile avatar kama ina uhusiano wowote na muhusika......heee!

Pia; Firstlady, Invisible!! japo sijui kama hapo panawezekana..... Lakini kama ningepata nafasi ya kuwaona: Rev Masa na Fidel80
ningefurahi sana......:smile-big:
Hhahaha! maumivu yakizidi muone daktari... Karibu muzee... Pia mimi napenda sana tuonane.
 
Je, humu JF umewahi kuwaona akina nani live? Ni nani pengine ungetamani kumwona, labda kutokana na kauli na vituko vyake humu JF?

Wapi Gaijin, FirstLady1, Nyamayao, Lady, Da Sophy!!!!!!!!! natamani saaaaaaaaana tu kukwatieni machoni!
 
Lakini kama ningepata nafasi ya kuwaona: Rev Masa na Fidel80
ningefurahi sana......:smile-big:

Usijali ngoja niwasiliane na mchungaji akisha maliza kitubio ili Idd mosi au pili tufanye linalowezekana tuonane
 
Wapi Gaijin, FirstLady1, Nyamayao, Lady, Da Sophy!!!!!!!!! natamani saaaaaaaaana tu kukwatieni machoni!

bacha taratiiiiiiib..............lugha yako inaweza kuzua utata kwa wale wasiofahamu kwa ufasaha lugha ya taifa au kwa wale wenye uelewa mkuu wa lugha hiyo
 
Je, humu JF umewahi kuwaona akina nani live? Ni nani pengine ungetamani kumwona, labda kutokana na kauli na vituko vyake humu JF?

avatar9066_1.gif
 
bacha taratiiiiiiib..............lugha yako inaweza kuzua utata kwa wale wasiofahamu kwa ufasaha lugha ya taifa au kwa wale wenye uelewa mkuu wa lugha hiyo

Usihofu Gaijin, wana JF ni watu makini!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom