unataka utoke wkend na mpoleeee?

sisi ni mashombe shombe. Mimi condom zinanibana, sitakii kuzitumia sababu sisikii raha wala utamu. mi tutoke tu maswala ya sex ntakutafutia mwingine wa kukushughurikia. halafu unapenda machozi ya simba kwani wewe bong? utakuwa bonge bana. nasubili pm yako. hakikisha una hela ya kutosha ya kujihudumia hata mimi ntakuja na mkwanja wa kuntosha. tunaanzia kwenye mdudu tunachanga hela tunanunua kilo mbili. mi nakunywa kili ntajinunulia halafu jioni tunamalizia bill's kila mtu anarudi kwao. Mia
 
wote walio tuma hawajakfikia ww. hii nambari moja ngoja wengne watume nifananishe. Mwil wang kama hap juu c bonge na napend zaid kinywaj valuer
 
pumbav zako mwenyew ndio zenyu kupenda pelekesha wenzenyu. Umelazmishwa kuingia hapa? Ww ni kidume unataka kutoka na mm? Kwenda zako kule na usinipelekeshe! Natafta mtu anae jua maana ya kutoka na kula maisha hapa jijin. Hupendi log out!

jitahidi kuwaheshimu ulio wakuta hasa; dena amsi, lizzy, kongosho, husninyo, firstlady, mamndenyi, cantalisia, mayassa, kipipi, fais buku, na preta. la sivyo ntakufanya uichukie Jf. hii ni mara ya pili nakupa onyo.
regards.Mia
 
unantania waniyeyusha?
Sasa kwa nini nikutanie wakati naona we uko so serious?
Namaanisha! Hataki kujiunga JF analazimisha atumie ID yangu, na mimi sitaki kumpa, nataka afungue account yake mwenyewe!
 
Kwa hiyo sisi tulio ingia pamoja nae tusipewe heshima? We ungesema tu JF members wote.
 
wote walio tuma hawajakfikia ww. hii nambari moja ngoja wengne watume nifananishe. Mwil wang kama hap juu c bonge na napend zaid kinywaj valuer

mi picha yangu ipo kwnye profile. kama mzuka nipm tu. lakini lazima siku yenyewe tutaianzia pale talakea pub kwa supu ya kuku wa kienyeji saa mbili asubuhi. halafu ndo mambo yote yaendelee. hakikisha unajizuia kuhusu hisia zako. Naogopwa kubaka ndo maana nataka tukae sehemu za wazi mda wote usije getto wala siji getto. Mia
 
jitahidi kuwaheshimu ulio wakuta hasa; dena amsi, lizzy, kongosho, husninyo, firstlady, mamndenyi, cantalisia, mayassa, kipipi, fais buku, na preta. la sivyo ntakufanya uichukie Jf. hii ni mara ya pili nakupa onyo.
regards.Mia

Hahahahaha MIA katoa onyo.
Shkamoo mia. . . !
 
Hajamtukana wala kumkashifu mtu yeyote.
Ningejaribu ila haiwezekani, naangalia movie hapa.
Just curious, how old are you?
 
jitahidi kuwaheshimu ulio wakuta hasa; dena amsi, lizzy, kongosho, husninyo, firstlady, mamndenyi, cantalisia, mayassa, kipipi, fais buku, na preta. la sivyo ntakufanya uichukie Jf. hii ni mara ya pili nakupa onyo.
regards.Mia

hata wakinita pumbav?
 
Sasa kwa nini nikutanie wakati naona we uko so serious?
Namaanisha! Hataki kujiunga JF analazimisha atumie ID yangu, na mimi sitaki kumpa, nataka afungue account yake mwenyewe!

bas achana nae huyo!
 
mi picha yangu ipo kwnye profile. kama mzuka nipm tu. lakini lazima siku yenyewe tutaianzia pale talakea pub kwa supu ya kuku wa kienyeji saa mbili asubuhi. halafu ndo mambo yote yaendelee. hakikisha unajizuia kuhusu hisia zako. Naogopwa kubaka ndo maana nataka tukae sehemu za wazi mda wote usije getto wala siji getto. Mia

unawez himil gragra?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom