unataka utoke wkend na mpoleeee?

Mpole umekaa karibu na Rose 1980 nini? maana mwandiko wako unafanana na wa kipenzi Rose.
haya ngoja wababa wajinadi ujichagulie mwaya maana ukikaa kimya mwisho utadoda. Raha jipe mwenyewe shost.

I love ur sense of humor! By the way nami nimemmiss Rose konyezo! LOL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom