Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Alimtesa sana girlfriend wake,alikuwa anaonyesha live kwamba anaenda kubroke up mda mfupi ujao,girlfriend naye aligundua kinachoendelea na akaamua kuliko amkose heri amtoe roho boyfriend wake,ikafika mda wa usiku saa tano kwenda out labda club au kwingine nisikojua mimi,girl akachukua gari lake na kwenda ghetoni kwa boyfriend na kumwambia apande gari ili waende club,kumbe girl aliwaweka wanaume wengine kwenye buti ya gari,boyfriend alipopanda tu kwenye gari alikamatwa na kufungiwa kitambaa mdomoni ili asitoe sauti,kisha akawekwa kwenye buti la gari...girlfriend akaingia usukani huku wanaume hao watatu wamekaa viti vya nyuma wakiwa wamebeba shoka ya kumkata shingo boyfriend wa huyo demu,jembe na sepeto ambalo litatumika kumzika huyo boyfriend akiwa mzima bila kutolewa roho kwanza.Boyfriend ndani ya buti ya gari hawezi kupiga kelele mdomo umefungwa,gari inaelekea kwenye msitu mkubwa na kufunga breki,wanaume watatu wanashuka na wanaanza kuchimba shimo kubwa huku wakinoa panga................
Unataka niendelee?
Unataka niendelee?