Unataka kuwajua wazalendo waliobaki nchi hii?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,642
Ni hawa; Fungua jamii Forum saa 6, usiku, utawaona bado wapo wakijadili au kusoma
Masuala Muhimu ya nchi hii wengine mpaka asubuhi wataendelea kuwepo,
Bila shaka wanachelea mgao wa umeme hivyo kwa mapenzi na uchungu wa nchi yao
wapo tu wanajadili na kusoma hili na lile, Kwangu hawa ndio
wazalendo, wamekosa nafasi ya kutoa michango yao bungeni lakini wako hapa huku
wanaojiita wawakilishi wa wananchi wakikoroma na wala hawana wasiwasi wa kukosa umeme.
Wasiwasi utatoka wapi wanao wanalipwa posho kubwa?

NI
VEMA SASA JF LIKIWA JUKWAA MAALUM LA WAPIGANIA UHURU MPYA NA WA KWELI!
ALUTA CONTINUA.................................

NIVEMA SASA  JF LIKIWA JUKWAA MAALUM LA WAPIGANIA UHURU MPYA NA WA KWELI!

ALUTA CONTINUA.................................

Ni hawa; Fungua jamii Forum saa 6, usiku, utawaona bado wapo wakijadili au kusoma
Masuala Muhimu ya nchi hii wengine mpaka asubuhi wataendelea kuwepo,
Bila shaka wanachelea mgao wa umeme hivyo kwa mapenzi na uchungu wa nchi yao
wapo tu wanajadili na kusoma hili na lile, Kwangu hawa ndio
wazalendo, wamekosa nafasi ya kutoa michango yao bungeni lakini wako hapa huku
wanaojiita wawakilishi wa wananchi wakikoroma na wala hawana wasiwasi wa kukosa umeme.
Wasiwasi utatoka wapi wanao wanalipwa posho kubwa?

NI
VEMA SASA JF LIKIWA JUKWAA MAALUM LA WAPIGANIA UHURU MPYA NA WA KWELI!
ALUTA CONTINUA.................................

Hao wanaosafu usiku watakua wa ughaibuni mkuu kumbuka tumetofautiana kwa masaa wewe unaona kama hawalali.

Jukwaa la MMU lina maswala gani muhimu kwa nchi? maana wapo wanaokesha pale.
MMU wanaingia kama memba ili kupoza machungu lakini kwenye haya majukwaa mengine wataingia kama Guest au Memba
pale wanapoona kuna umuhimu wa kuchangia ingawa kuna wachache ambao huingia JF baada ya kukosa usingizi!

Hao wanaosafu usiku watakua wa ughaibuni mkuu kumbuka tumetofautiana kwa masaa wewe unaona kama hawalali.
Mkuu wako ambao ninawafahamu ni wa hapahapa halafu
wapo wa ughaibuni ambao kwa huko waliko ni usiku lakini
ninawaona hapa!

Hao wanaosafu usiku watakua wa ughaibuni mkuu kumbuka tumetofautiana kwa masaa wewe unaona kama hawalali.

Kweeeeeli kabisa!!!! au wengine wako kwenye malindo ya zamu za usiku au madaktari wa zamu usiku

Kuna rafiki zangu ninawafahamu wanakuwa hapa usiku wengine ni walimu na mmoja
wengine ni maafisa kilimo n.k

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom