Unataka kumuoa Rose? Soma hapa!

Sikubaliani na hiyo tafiti kutokana na majina ha a cku moja hayaendani na tabia ya mtu labda iwe ni nick name

Ndugu,unatakiwa ujifunze nguvu iliyoko kwenye majina!
 
Jaman nina boyfriend anaitwa Andendekisye kama kuna mtu anajua tabia zao nami anijuze.
 
Jaman nina boyfriend anaitwa Andendekisye kama kuna mtu anajua tabia zao nami anijuze.

Kama ni jina la kwanza sawa,ila kama ni jina la pili achana nalo fuatilia la kwanza!
 
Back
Top Bottom