Unataka kumuoa Rose? Soma hapa!

Mimi niko jirani na Rose Muhando, haya nipeni wasaa nianze kum'paparised.
Alafu what abt Asha Rose ? Au wakubwa hawajadiliwi ?
 
shem kuna utafiti nafanya hapa ukikamilika ntaleta results,hadi sasa 65% inakubaliana na ww,acha niendelee na utafiti.

Kama ni hivyo shem ubingwa tayari!.Inaonekana huu utafiti ni kiboko.....Lol!
 
Mimi niko jirani na Rose Muhando, haya nipeni wasaa nianze kum'paparised.
Alafu what abt Asha Rose ? Au wakubwa hawajadiliwi ?

Wote ni wanadamu,lakini huyo ni Asha bana!
 
Aisee, ni kweli bana............. hapa ofisini kuna Rose wawili, mmoja kaolewa na ni mama wa makamo lakini ni mbeya huyooo.....Na mwingine bado kabinti, yeye hajaolewa na hataki kuolewa inavyoonekana, na yeye ana vibuzi na waume za watu wakija usawa wake anaswaga...............

Mungu wangu Mama Ngina asije akasoma hii maneno maana atadhani na mimi nimewahi jibebea.....LOL
 
Hivi ni kweli rose mhando amezalishwa watoto wengi na wanaume tofauti tofauti? Nauliza tu wakuu ili kukazia 'hukumu'.
 
Utajijua, ndo maana mimi mke wangu hajui ID yangu na sitaki aijue kabisa, maana huwa namtupia mawe na huwa tunajibizana humu bila yeye kujua
 
Hivi ni kweli rose mhando amezalishwa watoto wengi na wanaume tofauti tofauti? Nauliza tu wakuu ili kukazia 'hukumu'.

namtetea mtumishi wa mungu rose muhando,ya kuzalishwa watoto wengi hayo ni yake ya kale,sasa yamepita na yamekua mapya sbb kwa sasa amempokea yesu na anaujua utamu wake,hata kama watoto walizaliwa ktk dhambi na sasa aeokoka hawezi kuwatupa.Rose muhando wa sasa si mbeya wala sio kicheche.
 
Sikubaliani na hiyo tafiti kutokana na majina ha a cku moja hayaendani na tabia ya mtu labda iwe ni nick name
 
Mkuu kama kuna kaukweli flani hivi maana kuna Rose mmoja nimesomanae alikuwa hashikiki. Yeye alikuwa ana-deal na mijibaba tu...
 
umewasahu kina Mage? aka Margaret, Margereth, Magret? Sofia sofia nao wamo wamo kwa kukosa utulivu
 
Back
Top Bottom