Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
- Thread starter
- #61
Mkuu hapa usilete hasira toa pointi sio kuniambia nikamuulize Nape kwani Nape nani yangu mimi? Toa pointi acha ushabiki sawa?acha ujinga kama unaushahidi na hayo unayo sema kamwambie nape si kuna sheria ya pesa haramu mwende kwa jk mkalishulikie usituletee ujinga.
kama waziri mkuu kulia eti alibino ameuwawa..... machozi hayasaidii chukuwa hatua mzee wacha kubwabwaja na maswali yako hata hizo pesa wala uthitisho hujaleta mimi nikisema wewe umeolewa na yule naniihiiiiii