Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Sasa tatizo ni nini hapa? sisi ni nchi ya Kijamaa? Wapi katika maandiko ya taratibu zetu za maisha imeandikwa kwamba Ubepari ni haramu katika eneo lote la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Wewe Binafsi unaishi kijamaa?Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.
Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.