Unataka Ku-renew ya Leseni Udereva pale Mayfair Plaz? -Uwe mvumilivu

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
Al Hamza project 006.JPG

Nimelikuta hili sakata la kurenew Leseni ya linakera.
Tazama hiyo foleni na wadau waliokata tamaa kwa kusubiri muda mrefu.
Huyo dada masikini amesubiri na uzalendo uka muishia akakaa chini kama jamaa walio kaa kule mbele.
Lini TRA itajifunza kuhudumia wateja?
 
Tena inaonyesha alishaanza kuhisi uchovu wa kiafya, sio hapo tu Customer care ya NBC nao ndio hivyohivyo
 
nidhamu ya uwoga 2sipende,kama kuna ki2 hakiend sawa wahusika wawajibishwe sasa tunapelekana vibaya mno mpaka inakera....
 
Sikatai foleni ni changamoto na yamkini kwa inasababishwa na uduni wa utoaji wa huduma, lakini twende mbele turudi nyuma, ndipo tulipofikia hapo watz,hili zoezi lilishatangazwa likarefushwa na kurefushwa (watu walikua wanasubiria deadline) .....tunaona raha dk za lala salama ndio kukimbia kimbia na foleni kama hizi.............pamoja na ukweli kwamba zinatengeneza mazingira ya rushwa lakini wakati mwingine ni mambo yanayoweza kuepukika............

......people wait for time but time wait for nobody............
 
Folen ni mfumo wa haki ya first come first served. Mkereke na no service na sio folen.
 
Haya yote ni katika kutengeneza mazingira ya rushwa tu maana sioni chochote kinachosababisha foleni hiyo..
 
Sikatai foleni ni changamoto na yamkini kwa inasababishwa na uduni wa utoaji wa huduma, lakini twende mbele turudi nyuma, ndipo tulipofikia hapo watz,hili zoezi lilishatangazwa likarefushwa na kurefushwa (watu walikua wanasubiria deadline) .....tunaona raha dk za lala salama ndio kukimbia kimbia na foleni kama hizi.............pamoja na ukweli kwamba zinatengeneza mazingira ya rushwa lakini wakati mwingine ni mambo yanayoweza kuepukika............

......people wait for time but time wait for nobody............

Kuna kipindi pale MayFair ilikuwa hauchukui hata nusu saa kukamilisha process nzima.

Tuna uchaguzi wa kuburuza process ya utoaji leseni lakini tusilalamike ijali zinapozidi kutokana na watu wasio madereva lakini wana leseni.
 
inaboa sana mm yalinikuta pale kwa manji nyerere road folene ndefu aina maelezo sehemu zipo 3 inayofanya kazi 1 ukiuliza unajibiwa kwa nyodo fata kilichokuleta subiri foleni yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom