Unasubiria GTA V? huenda ukahitaji PC mpya

mzee chibali hebu nipasie na mimi nduguyo hizo GTA Nilifanikiwa San Andreas na Vice City tu. hizo zilizobaki sikufanikiwa kuzicheza sasa hapa umenigusa sna kwa jinsi ambavyo umeonesha una mapenz ya dhat kwa GTA / kizuri basi kula na nduguyo... naweza kukupata wapi na unanisaidiaje? maana si mbaya hata nikisema tu asante ubarikiwe.
 
hapa sasa wadau wengine ndo watakuja na majigambo akina mwasakafyuka. ana apple RAM 16GB, HDD 2 TB,NI DUO QUAD CORE PROCESSOR i9.
anyway lets come back hii issue kudownload kwake nayo itakuwa ni gharama sana over 60 gbs? then inataka specifications za kufa mtu hii lengo kwa kiasi flan pia ni kupuunguza piracy lakini pia ni suala la ubora na hata story yenyewe kuwa kama movie sasa. jamaa yangu ana laptop yake Ram 4 GB , Intel Core i3 anauliza ina maana hapa yeye hana chake kabisa? na kujua hizo graphics card anajuaje ktk laptop yake?

Kaka i3 i5 i7 zote zina power ya kutosha. Kibongo bongo issue ni gpu. Kwa processor za 4th generation gpu yake inayokuja na processor yaani hd4600 inarun hili game kwa kusua sua, gpu chini ya hapo huenda zisirun kabisa.

Cha muhimu nenda my computer halafu right click then properties nisomee full jina la processor
 
Rockstar wametoa minimum requirements za GTA V kwa PC, hebu ziangalie kama computer yako itahandle hili game.

Minimum requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1, Windows Vista 64 Bit Service Pack 2* (*NVIDIA video card recommended if running Vista OS)
Processor: Intel Core 2 Quad CPU Q6600 @ 2.40GHz (4 CPUs) / AMD Phenom 9850 Quad-Core Processor (4 CPUs) @ 2.5GHz
Memory: 4GB
Video Card: NVIDIA 9800 GT 1GB / AMD HD 4870 1GB (DX 10, 10.1, 11)
Sound Card: 100% DirectX 10 compatible
HDD Space: 65GB
DVD Drive

Recomended system requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1
Processor: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs) / AMD X8 FX-8350 @ 4GHZ (8 CPUs)
Memory: 8GB
Video Card: NVIDIA GTX 660 2GB / AMD HD7870 2GB
Sound Card: 100% DirectX 10 compatible
HDD Space: 65GB
DVD Drive

Vitu vya kuangalia muhimu

1.inataka computer yenye 64 bit hivyo kama una 32bit hali itakuwa mbaya
2.hakuna mapenzi ya dual core 2015 watu wanataka quadcore
3.65 gb kama una mpango wa kulinunua jiandae kubeba dvd za kutosha na kuwa na space ya kutosha
4. game hili litachezwa hadi 4k na kusuport monitor 3, hapa xbox one na ps4 zinakuwa kama console za watoto

kwa specs hizi nafikiri jamaa wameamua kukomesha piracy.
sasa chief haponi consoles zipi zitafaa?
 
anyway lets come back hii issue kudownload kwake nayo itakuwa ni gharama sana over 60 gbs? then inataka specifications za kufa mtu hii lengo kwa kiasi flan pia ni kupuunguza piracy lakini pia ni suala la ubora na hata story yenyewe kuwa kama movie sasa.
Mkuu hiyo 60GB ni free space inayotakiwa, sio ukubwa wa GAME.
 
sasa chief haponi consoles zipi zitafaa?

Hakuna console inayocheza 4k kwa sasa. Zinaishia tu 1080p. Ila na vifaa vya kucheza game kwa 4k vitakucost kama milioni 6 au zaidi. Nasema tu kwa wale wenye navyo.

720p/1080p kibongo bongo sio mbaya kaka
 
kwa maana hiyo hilo game limetengenezwa ili licheze kwenye pc tu?
 
kwa maana hiyo hilo game limetengenezwa ili licheze kwenye pc tu?

Hapana linachezwa kote pc, ps4, ps3, xbox one na xbox 360.

Ila kwenye console linacheza 720p, 1080p

Wakati kwenye pc litacheza 720p, 1080p,..... Mpaka 4k.

Tuchkulie mfano nyumbani una tv ya 4k wengine wanaita ultra hd. Basi ukicheza gta v kwa native resolution ya 4k litakuwa na graphics nzuri zaidi tofauti na 720p na 1080p ya console
 
Kaka i3 i5 i7 zote zina power ya kutosha. Kibongo bongo issue ni gpu. Kwa processor za 4th generation gpu yake inayokuja na processor yaani hd4600 inarun hili game kwa kusua sua, gpu chini ya hapo huenda zisirun kabisa.

Cha muhimu nenda my computer halafu right click then properties nisomee full jina la processor

Hivi unavyosema HD4600 ndo zile graphics saa zingine wana ziita intel 5000, au intel 3000 au? daaah naona mac wametupwa pembeni kabisa aiseee
 
Hivi unavyosema HD4600 ndo zile graphics saa zingine wana ziita intel 5000, au intel 3000 au? daaah naona mac wametupwa pembeni kabisa aiseee

yah kaka ndio hizo hizo, sema sio integrated graphics zote ni mbaya zipo hd 5200 (iris pro) hizi ni za ukweli. so kama una mac yenye iris pro unalicheza vizuri tu gta v.

https://www.youtube.com/watch?v=hG9mYnvU_yI&hd=1
cheki hii video kwa ushahidi

pia zipo mac zenye dedicated graphics
 
Nilikuwa nalo hili tangu mwaka jana. Ila sikuinistall.

Now ndio nacheza liko poa. Ila weka mbali na watoto. Maana jamaa kila neno na tusi juu. Yaani full kutukana..
Rock star wako poa sana hata sound na mziki vimepangiliwa poa sana.
 
Rockstar wametoa minimum requirements za GTA V kwa PC, hebu ziangalie kama computer yako itahandle hili game.

Minimum requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1, Windows Vista 64 Bit Service Pack 2* (*NVIDIA video card recommended if running Vista OS)
Processor: Intel Core 2 Quad CPU Q6600 @ 2.40GHz (4 CPUs) / AMD Phenom 9850 Quad-Core Processor (4 CPUs) @ 2.5GHz
Memory: 4GB
Video Card: NVIDIA 9800 GT 1GB / AMD HD 4870 1GB (DX 10, 10.1, 11)
Sound Card: 100% DirectX 10 compatible
HDD Space: 65GB
DVD Drive

Recomended system requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1
Processor: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs) / AMD X8 FX-8350 @ 4GHZ (8 CPUs)
Memory: 8GB
Video Card: NVIDIA GTX 660 2GB / AMD HD7870 2GB
Sound Card: 100% DirectX 10 compatible
HDD Space: 65GB
DVD Drive

Vitu vya kuangalia muhimu

1.inataka computer yenye 64 bit hivyo kama una 32bit hali itakuwa mbaya
2.hakuna mapenzi ya dual core 2015 watu wanataka quadcore
3.65 gb kama una mpango wa kulinunua jiandae kubeba dvd za kutosha na kuwa na space ya kutosha
4. game hili litachezwa hadi 4k na kusuport monitor 3, hapa xbox one na ps4 zinakuwa kama console za watoto

kwa specs hizi nafikiri jamaa wameamua kukomesha piracy.

Wapo wataalamu waku compress files watatuwezesha tunaoshusha mizigo torrents
 
yaani nilikuwa si mpenzi wa gta. Lakini mikito ya mziki wa mule ukipiga kwenye sound nzuri wakati unaendasha garii. Yaani unafeel kama upo USA.

Mimi mpenzi wa mziki wameniteka kiukweli. Graphics nimeset medium kutokana na uwezo wa pc yangu. But ziko poa.
Hata graphics compare na san andrea na vice city ni level nyengine
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom