Unasubiri nini ??dar kgl j3,j4,j5,,ijumaa na jumapili 509 usd rt na rwandair

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,017
Tar 02 aug
kampuniya ndege ya rwandair inaanzisha safari zake rasmi siku 5 kwa wiki tanzania nazo ni
jumatatu jumanne,,jumatano,,iumaa jumapili..kwa wale waliokuwa na shida ya kurudi siku inayofwata kuwahi kazini
sasa tumekupelekea safari yako mpaka mlangoni ...rt 509 usd ow 377 usd wahi haraka
wasiliana



+255 717 29 49 48
 
Tar 02 aug
kampuniya ndege ya rwandair inaanzisha safari zake rasmi siku 5 kwa wiki tanzania nazo ni
jumatatu jumanne,,jumatano,,iumaa jumapili.. ...rt 509 usd ow 377 usd wahi haraka
wasiliana +255 717 29 49 48

Mbona ''tangazo'' lako limekaa kihunihuni??

Si ungesema tu RT = Return na OW = One Way. Watu wengine tumesoma shule za kata na inachukua kuda mrefu sana kufigure out vitu kama hivi
 
Si ndio hiyo mkuu 509 usd rt
ow 377 usd

na bujumbura sasa ni 367 usd ow na rt 557 usd mkuu kazi kwako tunakufika mpaka ulipo
 
Back
Top Bottom