Unashauriwa na Mkeo?...Utachanganyikiwa!!

u knw ur very luck to have me by ur side ukipata mshahara tunamalizia bar,nakuacha unacheza cheza na vitoto vinavyojipendekeza kwako,n for sure I dnt mind coz unapata alot of experience n thats make uor love grow sronger,love you my sugar banana n sweeety potato

Mai mai!
Hapa wifi sina!
 
Kweli nimeamini mkiwa gud couple mnafanana sana kitabia kama Pakajimmy na Pearl ..can't imagine ..
 
Jamani nilishachangia lakini nimerudi tena maana kuna kitu nimekumbuka baada ya kusoma alichochangia kaizer ni kweli hao ni wanaume chipolopolo kama usemavyo kaka yangu maana kama kweli watu mmeamua kuwa kitu kimoja inakuwaje tena watu wa nje waweze kuwatawala kwenye mawazo yenu? Wao wanashindwa watakuja kuwezaje yakwenu? USHAURI NI USHAURI cha muhimu hauvunji sheria ya nchi, na sio kwenda kuiba! Tunaweza kushauri jamani!

Uzuri huwa tunakubaliana mambo mengi sana Sydney
 
wifi zangu mna mamboooo,mshikaji tu,(huwa ananipa poket money pj akisahau)

eeeeeh naona au naonewa....generator limeathiri masikio na sasa naona athari zaelekea machoni......
hata ulipoandika na penseli nimeona kweli??
 
Twinuska rememba wer sisters frm another maza!dnt break ze promise(keep it down low)
eeeeeh naona au naonewa....generator limeathiri masikio na sasa naona athari zaelekea machoni......
hata ulipoandika na penseli nimeona kweli??
 
lets go home B! hapa utakuja kuona hadi visivoonekana

wakubwa wapo kazini...umeshaleta unga?

kweli wakubwa at work
am kinda confused vile???

twende lakini mashineni siendi haki ya naniliuu vile......tutasonga ngano ya azam B
 
Angalia familia nyingi mbovumbovu na ambazo hazina mwelekeo ni zile ambazo baba anaamua tu kila kitu bila kumshauri mkewe. Kushauriana "both sides" ni lazima kwa maendeleo ya familia.
 
wifi zangu mna mamboooo,mshikaji tu,(huwa ananipa poket money pj akisahau)
tehe tehe!
Unakumbuka ule wimbo wa wale jamaa wa Arusha walikuwa wanatembea na gitaa kila mahali, nimewasahau hata jina. HAINA NOMA NI NI MSHKAJI TUU!!

PJ unaliwa hapo, usikubali ushauri wa my wifey wako wa JF
 
mandojo na domokaya
tehe tehe!
Unakumbuka ule wimbo wa wale jamaa wa Arusha walikuwa wanatembea na gitaa kila mahali, nimewasahau hata jina. HAINA NOMA NI NI MSHKAJI TUU!!

PJ unaliwa hapo, usikubali ushauri wa my wifey wako wa JF
 
Angalia familia nyingi mbovumbovu na ambazo hazina mwelekeo ni zile ambazo baba anaamua tu kila kitu bila kumshauri mkewe. Kushauriana "both sides" ni lazima kwa maendeleo ya familia.

I dont think so.
Mi ushauri nasikiliza, ila sio lazima niufuate, maushauri ya kwamba tujenge Kigamboni kwanza wakati nikenda Kwetu Kiraracha nalala kwa baba yangu? Hakuna hiyo, kwanza mjengo Kiraracha, then ndo mambo mengine.

Wanawake wanapenda show ile mbaya. Akiona mwenzie amefanya kitu, anataka kukilazimishia na nyie mfanye.

Heshima mbele kwa ladies, I lov them, na nakubali nyie ni watamu ile mbaya......source ya Mwanamme kuona maisha ni matamu ni mwanamke bana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom