Unapotongoza wasichana wawili kwa wakati mmoja

dah! Mie mgeni jamani, ila kwa ushauri hebu soma jina langu!

Je utakuja kuoa wake wawili? Kwa nini upoteze muda wa mmoja dada watu?

Mwanaume unapaswa kujua ukitakacho maishani
 
Bora ubaki nao wote wawili! Fanya risk diversfication! Don't put all eggs in the same basket!
Mkuu umesabibisha nimkumbuke mtu hivi mtata sana pale mlimani anaitwa prof rwegasila ndyo yalikuwa mambo yake haya
 
Back
Top Bottom