Unapotongoza wasichana wawili kwa wakati mmoja

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Nimeona niwashirikishe hili kwani ndilo nililonalo kwa sasa. Kuna mabinti wawili ambao wote wana sifa ninazozihitaji. Nimejitahidi kuwaweka karibu na imekuwa hivyo. Nina malengo ya kuwa na yeyote kati ya hao maishani. Hofu yangu ni kwamba Itakuwaje wote wakinikubali? Pili lengo ni kuminimize risk, je niendelee na huu mchakato au nikomae na mmoja?
 
mnachosha nyinyi watu sometimes..juzi unakuja na thread hupendwi na wadada mpaka ulazimisheleo una wawili unaogopa watakubali wotemmeshafanya vichwa vyetu ni vya ku test kwa kila upuuzi naona..
umechoka na nini, ndo hao wazinguzi au hujaelewa vizuri.
 
mnachosha nyinyi watu sometimes..

juzi unakuja na thread hupendwi na wadada mpaka ulazimishe

leo una wawili unaogopa watakubali wote

mmeshafanya vichwa vyetu ni vya ku test kwa kila upuuzi naona..

mkuu, mi nahisi atatoswa na wote hao na akimpata mmoja wao ujue kamlazimisha.
 
mnachosha nyinyi watu sometimes..juzi unakuja na thread hupendwi na wadada mpaka ulazimisheleo una wawili unaogopa watakubali wotemmeshafanya vichwa vyetu ni vya ku test kwa kila upuuzi naona..
umechoka na nini, kwani leo nimesema napendwa? Ndiyo hao wazinguzi niliokuwa nawaongelea thread iliyopita, sijaona tatizo hapa, labda tatizo ni wewe kuamini kwamba huu ni upuuzi.
 
wapange uone shughuli yake, unafikiri wanawake wawili mchezo?
Mchague mmoja utakaeona anakufaa zaidi
 
Back
Top Bottom