Unaposusia kiti ulichoandaliwa

008.jpg

Nadra sana sana kiti kilichoandaliwa katika safu ya mbele ya viongozi wa juu katika matukio kubaki wazi, labda walioandaa walikosea kujua idadi ya wahudhuria na nyadhifa zao, au mhusika amesusia. Mimi sina jibu.

Kibabu PADRE kina wivu sana: nadhani kinatamani kupindua nchi. Yaani kakimbia hapo kaenda kusimama kwa masela row za nyuma kabisa huko. Au alikuwa anataka akae jirani na kina mama - ili acheki uwezekano wa 1 night stand
 
Wakuu wengi siwaoni hapo kama Pinda, Makmu wa Raisi, Wasira ambao mara nyingi wako kando kando ya mkulu.
 
Wanaoandaliwa viti vya mbele mara nyingi hana nafasi ya kuondoka ondoka wakati mkuu yuko pale na hajaondoka. Unaona wanaolinda, hivi naona utetezi wako umekosa uzito, labda nijaribu kuutafakari tena.

Kama mkuu wako kawekewa gundi asiondoke ni yeye,usilazimishe na wengine wasitoke.
 
Kama mkuu wako kawekewa gundi asiondoke ni yeye,usilazimishe na wengine wasitoke.

Mkuu ni wa mwisho kukalia kiti kwenye jukwaa na ndiye atakayekuwa wa kwanza kuondoka, utake usitake ukishakuwa jukwaa la wakuu umeshakuwa mfungwa hadi mkulu aondoke ndipo unajisikia ahueni. Si kwa kutaka ila mfumo wa po pote katika sayari hii.
 
Kwani kiti kubaki wazi kina tatizo gani? au kimeibiwa tunamtafuta aliyekutwa nacho?? Hoja itokanayo na mawazo finyu
 
Hiki kiti nadhani aliwekewa Daktari just in case angehitajika baada ya safari ya mikiki mikiki ya mkweree huko madongo kuinama.
 
Back
Top Bottom