Unaposusia kiti ulichoandaliwa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
008.jpg

Nadra sana sana kiti kilichoandaliwa katika safu ya mbele ya viongozi wa juu katika matukio kubaki wazi, labda walioandaa walikosea kujua idadi ya wahudhuria na nyadhifa zao, au mhusika amesusia. Mimi sina jibu.
 
Childish!
Kuna thread na picha kama hizi zimeshawekwa tayari kwenye thread kibao, na mijadala ishafanywa, bado mtu anafanya recycle ya same material!...you monotonous agent!
 
Hahahahah,kama ni msiba wa juzi basi kilikua cha MTEKETA ABDUL,mbunge wa Kilombero
 
Siku hizi watu wanaogopa misumali na polonium nani anataka kufa mapema?
 
Childish!
Kuna thread na picha kama hizi zimeshawekwa tayari kwenye thread kibao, na mijadala ishafanywa, bado mtu anafanya recycle ya same material!...you monotonous agent!

Jamani, mie mpenda maoni ya watu, nimejiuliza kiti kicho kuwa wazi bila aliyeandaliwa kukitumia, sasa kama ni childish, au child like what ever you can call me, ni kitu kisichozoeleka kubaki wazi safu ya mbele, na pengine angeweza kuchomolewa mwingine ajazie kama isemavyo misafu ya kiyahudi kwa kilatini: "amice acsende superio" ili kujazia nafasi.
 
008.jpg

Nadra sana sana kiti kilichoandaliwa katika safu ya mbele ya viongozi wa juu katika matukio kubaki wazi, labda walioandaa walikosea kujua idadi ya wahudhuria na nyadhifa zao, au mhusika amesusia. Mimi sina jibu.

Tusilete mada ikawa ndeeeeefu sana hicho kiti kilikua ni cha kwangu nilikua nimekaa hapo sema nilitoka kwenda Kutabawali mpiga picha hakupata picha yangu je unalingine?
 
Wanaoandaliwa viti vya mbele mara nyingi hana nafasi ya kuondoka ondoka wakati mkuu yuko pale na hajaondoka. Unaona wanaolinda, hivi naona utetezi wako umekosa uzito, labda nijaribu kuutafakari tena.
 
Hahahahah,kama ni msiba wa juzi basi kilikua cha MTEKETA ABDUL,mbunge wa Kilombero

Wabunge walikuwa na jukwaa lao lililoongozwa na mbunge mstaafu kamanda Dr. Slaa, sasa kiti hiki mkuu nani aliandaliwa?
 
Najua unataka kusema kilikuwa ni cha dr Slaa, huwezi kuwaghilibu watu kihivyo, hapo alipaswa kukaa kiongozi wa ibada
 
Childish!
Kuna thread na picha kama hizi zimeshawekwa tayari kwenye thread kibao, na mijadala ishafanywa, bado mtu anafanya recycle ya same material!...you monotonous agent!

Sasa na wewe hapa sı umeendeleza mjadala?
 
008.jpg

Nadra sana sana kiti kilichoandaliwa katika safu ya mbele ya viongozi wa juu katika matukio kubaki wazi, labda walioandaa walikosea kujua idadi ya wahudhuria na nyadhifa zao, au mhusika amesusia. Mimi sina jibu.
Yawezekana ilikuwa nafasi ya Dr slaa.
 
Back
Top Bottom