Unaposhikana mkono na mtu maarufu.

Mtanganyika1

Member
Sep 13, 2011
56
5
Habari zenu wana JF, mara nyingi nimekuwa nikifikria na kutafakari juu ya imani na huruka hii yawanadamu si Africa, ulaya, marekani, na asia. Binafisi wanadamu kweli tumepewa karama tofauti tofauti hadi inafikia hatua wengine kuwa naumaarufu mkubwa zaidi ya watu wengine na hii ni katika nyanja tofauti tofauti,swali linabaki pale katika watu wakawaida wanavyochukulia wakutanapo na watu kama hawa.

Wanasiasa wanapokuwa katika shughuli zao za kisiasa na za kawaida wananchi hufurahi sana hadi wengine kuwa na mtizamo tofauti hadi ashikane mikono na mheshimiwa ambalo ni jambo la kawaida, wengine inafikia hatua yakutaka kuumizana kutaka angalau aguse mkono wahuyo muheshimiwa, sijui imani ya hawa wananchi huwa imekaaje?

Wanamichezo maarufu duniani, mpira wamiguu, miziki,n.k nasikia historia za watu maarufu duniani kwamba hata akilala kwenye hoteli fulani watu wanafurika kwenye hiyo hoteri naambiwa david Backamg wauingereza alipo lala kwenye hoteli moja huko Japan wakati wa michuano ya kombe la Dunia 2002 hoteli hiyo ikawa na umaarufu mkubwa sana nawatu kupendelea kwenda kwenye hiyo hoteli, vilele hata kwenye moja ya maduka watu hawa waingiapo kununua maduka hayo huchukua umaarufu mkubwa,je katika watu wengine wanapata nini juu ya hawa watu wanapotembelea maaneo fulani nawao wanataka kwenda pale?

Nasikia kuna mwanamziki mmoja aliwahi kuvua nguo yake ya ndani nakuwatupia mashabiki nawaligombania wale wazungu pengine hata kuumizana ilitokea au la! na mengine mengi yamekuwa yakitokea juu ya hawa watu maarufu na watu wakawaida kufanya vitendo visivyo vya kawaida hii ni nini? ni ushabiki tu? au ni jambo la kisaikrojia? wataalamu wa mambo ya jamii na saikrojia mtueleze juu ya mambo kama haya au kuna imani tofauti juu ya mambo tuyajuavyo watu wakawida?

Nawakilisha.
 
mkuu huo ni mtizamo tu wa mtu binafsi. kwani watu wote hamuwezi kuwa na mtizamo mmoja kwa kila kitu. Ndiyo maana wakati watu wengine wanaona shilingi bilioni moja za kitanzania ni fedha nyingi sana wakati watu wengine wanaona ni VIJISENTI TU.
 
mkuu huo ni mtizamo tu wa mtu binafsi. kwani watu wote hamuwezi kuwa na mtizamo mmoja kwa kila kitu. Ndiyo maana wakati watu wengine wanaona shilingi bilioni moja za kitanzania ni fedha nyingi sana wakati watu wengine wanaona ni VIJISENTI TU.

I like the way you're thinking Mkuu.
 
habari zenu wana jf, mara nyingi nimekuwa nikifikria na kutafakari juu ya imani na huruka hii yawanadamu si africa, ulaya, marekani, na asia. Binafisi wanadamu kweli tumepewa karama tofauti tofauti hadi inafikia hatua wengine kuwa naumaarufu mkubwa zaidi ya watu wengine na hii ni katika nyanja tofauti tofauti,swali linabaki pale katika watu wakawaida wanavyochukulia wakutanapo na watu kama hawa.

Wanasiasa wanapokuwa katika shughuli zao za kisiasa na za kawaida wananchi hufurahi sana hadi wengine kuwa na mtizamo tofauti hadi ashikane mikono na mheshimiwa ambalo ni jambo la kawaida, wengine inafikia hatua yakutaka kuumizana kutaka angalau aguse mkono wahuyo muheshimiwa, sijui imani ya hawa wananchi huwa imekaaje?

Wanamichezo maarufu duniani, mpira wamiguu, miziki,n.k nasikia historia za watu maarufu duniani kwamba hata akilala kwenye hoteli fulani watu wanafurika kwenye hiyo hoteri naambiwa david backamg wauingereza alipo lala kwenye hoteli moja huko japan wakati wa michuano ya kombe la dunia 2002 hoteli hiyo ikawa na umaarufu mkubwa sana nawatu kupendelea kwenda kwenye hiyo hoteli, vilele hata kwenye moja ya maduka watu hawa waingiapo kununua maduka hayo huchukua umaarufu mkubwa,je katika watu wengine wanapata nini juu ya hawa watu wanapotembelea maaneo fulani nawao wanataka kwenda pale?

Nasikia kuna mwanamziki mmoja aliwahi kuvua nguo yake ya ndani nakuwatupia mashabiki nawaligombania wale wazungu pengine hata kuumizana ilitokea au la! Na mengine mengi yamekuwa yakitokea juu ya hawa watu maarufu na watu wakawaida kufanya vitendo visivyo vya kawaida hii ni nini? Ni ushabiki tu? Au ni jambo la kisaikrojia? Wataalamu wa mambo ya jamii na saikrojia mtueleze juu ya mambo kama haya au kuna imani tofauti juu ya mambo tuyajuavyo watu wakawida?

nawakilisha.
huku huwa tunawasilisha mkuu
 
Back
Top Bottom