Unapojali watu...

sasa wewe hilo usijali
mradi wamekosea kukusoma,wapotezee
but naona kama kuna kitu unazungumza hapa..
ni kama wamekuchukulia pooa sana,hawajakuja kwa heshima unayostahili...is it?

Exactly! mimi nina udhaifu wa kulet people in, ni mtu matani and i'm all about loving life so i have this easiness about me kwahiyo watu wananichukulia poa which is not bad but wanavuka mipaka at times
 
pole saana
nimekuelewa aisee
the way ninavyowajua wasichana design yako
hata uki fall kwa mtu waweza mueleza kabisaa..
hao watu hawajakusoma vyema
 
Pole sana ED,

Mara nyingi, mwanamume akiwa karibu na dada yeyote ambaye kwa ukweli hana uhusiano wa kimapenzi naye anakuwa kama kajifungia milango kwa wadada wengine...Ni vigumu kwa wanawake wengine kuamini kuwa huyo dada mpo mpo tu mnapeana story na kusubiri magari kituoni..

Kumaliza mchezo, unamtongoza ili akichomoa uwe huru au akikubali muendelee mbele kwa mbele!!

Wanaume siku zote ni wanaume...hawawezi kuwa wavulana!

Babu DC!!
 
heshima yako mkuu
hii inaitwa 'kujipaka shombo' wakati kula huli lol
bora ujue moja lol
 
Nani asiyependa kumiliki kizuri kwa sura au tabia? Kama ulivoeleza una tabia ya kujali watu na kuwatendea mema. Kwa hilo tu mi nakupa maksi kwani ni jambo jema kabisa hata mbele ya Muumba. Umshukuru Mungu kakujalia moyo huo. Watu wanavutika na wewe kwa hayo na kutaka kukumiliki ili uwe wao tu. Mi nadhani hupaswi kuacha kuwa mwema, au kubadili tabia ili watu wasikusumbue. Endelea kuwatendea mema, ila pale wanapokutaka uhusiano mwingine uwe tayari bila kusita kuwakatalia. Usichoke kuwaelimisha kwa uwazi na upole. Watakuelewa tu na mwishowe wao wenyewe wataanza kuambizana na mwishowe kukupokea kama ulivyo.
 
he he he, atakuwa na kiranga kwa kweli.
Itakuwa sawa na chama cha Sau kuchukua uraisi 2015.

...Haya bana ngoja aanze kutafuta kazi hapo kwako :) au ofisi ya jirani ili iwe rahisi kwake kukamilisha lengo lake.
 
Pole sana ED,

Mara nyingi, mwanamume akiwa karibu na dada yeyote ambaye kwa ukweli hana uhusiano wa kimapenzi naye anakuwa kama kajifungia milango kwa wadada wengine...Ni vigumu kwa wanawake wengine kuamini kuwa huyo dada mpo mpo tu mnapeana story na kusubiri magari kituoni..

Kumaliza mchezo, unamtongoza ili akichomoa uwe huru au akikubali muendelee mbele kwa mbele!!

Wanaume siku zote ni wanaume...hawawezi kuwa wavulana!

Babu DC!!

Nicheze nao mbali?
 
Dark City umenikumbusha mbali sana...ila sitaki maswali lol!...Inakuwa ngumu sana kumtongoza huyo "rafiki" ambaye mko naye karibu kihivyo kama marafiki lakini hakuchengui kabisaaa kukufanya uamue kuwa naye kama mpenzi.

Pole sana ED,

Mara nyingi, mwanamume akiwa karibu na dada yeyote ambaye kwa ukweli hana uhusiano wa kimapenzi naye anakuwa kama kajifungia milango kwa wadada wengine...Ni vigumu kwa wanawake wengine kuamini kuwa huyo dada mpo mpo tu mnapeana story na kusubiri magari kituoni..

Kumaliza mchezo, unamtongoza ili akichomoa uwe huru au akikubali muendelee mbele kwa mbele!!

Wanaume siku zote ni wanaume...hawawezi kuwa wavulana!

Babu DC!!
 
Kwanza Mwanaume kukasirika na kuvunja urafiki
sababu ya kunyimwa k ni ushamba mno
ukiona mtu anakununuia sababu hiyo ujue tu ni mshamba na hastahili kupewa

angekuwa mjanja asingenuna na angeendeleza urafiki
na kutafuta kifaa kingine

Hapana kaka....kwa wale wawindaji hodari, ni hasara kubwa sana kupoteza risasi zako...

Ni muhimu kujaribu kila njia kuhakikisha unamnasa pray wako...Hii ni mojawapo na kwa baadhi ya watu huishia kuwasaidia.

The fact kwamba ED yuko hoi, inaonesha kuwa hii strategy ni very strong...

Au nakosea??

Ni kweli ana sukumwa na tamaa!

Sometimes siyo tamaa, ni uzoefu kwamba watu kibao wanajaribu bahati zao na kushinda.

Kuna mtu hapendi kushinda??

Ninavyofahamu mimi, shujaa ni yule mwenye ujasiri wa kuthubutu, sasa kama mtu unathubutu hilo ni kosa? kumbuka katika kuthubutu kuna kufanikiwa na kutofanikiwa, lakini kutofanikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika kufanikiwa kwani hapo mtu unakuwa umejifunza somo kubwa maishani............
Na somo hilo litakusaidia kutorudia kosa siku nyingine utakapokuwa unathubutu.....LOL

Nakubaliana na wewe mkuu...

Hakuna kitu kinauma kama kuona mtu anatoka huko mbali na kubeba mzigo ambao wewe umekuwa unaulea....

Ndo maana hakuna mwanamume anayependa kuwa mshika pembe ili wenzie waje wakamue. Bora ajaribu kukamua mwenyewe hata kama ataambulia teke la pua...Ni ajali kazini anyway!!

Babu DC!!
 
Nicheze nao mbali?

ED Please.........,

How many times do I have to say this?

Hao ni wanaume na siyo sanamu...unakuwa na ukaribu nao kiasi hicho kwa sababu gani?

Halafu unasema eti unapiga nao story hadi 2hrs at night?

I would never allow my self to be taken for granted kiasi hicho!!

Nita-hit hata kama sitapata target....bora lawama kuliko hasara!!

Pole lakini...kupotea njia ndio kuijua..hahahahahahahah!!

Babu DC!!
 
Kama ulivyo jieleza Eliza wewe ni decent na inaonekana wazi kwanza ni Verified user, unatumia Real Avatar kwa kifupi ni mtu ambae unaonekana simple mwenye kujipanga that said unaweza ukawa ni wife-material kwa iyo mwanume yoyote ataeweza ku-notice vitu kama ivyo ni raisi kutest bahati yake.

Wewe nikukabiliana nao kiakili tu labda ukiwaambia unae mtu wako na kama kunauwezekano wa kuwaonesha unaweza kuwavunja moyo..
kwa kuwa wengine ni watu mko nao office moja si sahihi kuonesha tofauti zenu hapo kazini jaribu kutengeneza mazingira ya kiutaniutani hili msichukiane nakuaribu kazi.
 
Hapana kaka....kwa wale wawindaji hodari, ni hasara kubwa sana kupoteza risasi zako...

Ni muhimu kujaribu kila njia kuhakikisha unamnasa pray wako...Hii ni mojawapo na kwa baadhi ya watu huishia kuwasaidia.

The fact kwamba ED yuko hoi, inaonesha kuwa hii strategy ni very strong...

Au nakosea??

Sometimes siyo tamaa, ni uzoefu kwamba watu kibao wanajaribu bahati zao na kushinda.

Kuna mtu hapendi kushinda??

Nakubaliana na wewe mkuu...

Hakuna kitu kinauma kama kuona mtu anatoka huko mbali na kubeba mzigo ambao wewe umekuwa unaulea....

Ndo maana hakuna mwanamume anayependa kuwa mshika pembe ili wenzie waje wakamue. Bora ajaribu kukamua mwenyewe hata kama ataambulia teke la pua...Ni ajali kazini anyway!!

Babu DC!!

Babu DC umenikumbusha mkaka moja, yeye alikuwa ni rafiki mzuri na alionyesha kila dizaini ya kunipenda lakini kwakuwa nilikuwa sim feel sikuwa namuelewa, kwahiyo nilitwaliwa kabisa mikononi mwake chini ya uangalizi wake........hasa nilipokuja achika ndio nae akafunguka na kueleza machungu yake kuwa mshikaji kaja kumpokonya halafu hata hivyo mshikaji hakuwa na mapendo ya kweli kama ya kwake, mimi nikamuuliza kwanini hukufunguka kitambo kile unakuja kusema sasa maji yashamwagika
 
hilo jambo la kawaida. mwanaume ambaye si kaka yako wala mjomba, baba au babu hazuiliwi kufanya hivyo ikiwa anataka. Kuwa mwanamke imara mwenye kujiheshimu lazima ujipime na kwa hao na si watu wa bararani anayejua anapiga mluzi ila ana uhakika hautageuka.
wenyewe wakiona poa muwe marafiki tu, inawezekana pia ila ukiona n a wewe haisumbui, wakikupotezea wapotezee. kama una mpenzi mthaminishe mpenzi wako kwao kama unasema weakness zake watakutongoza wakijua kuwa you are an empty vessel needing a captain, don't blame them; utakuwa umeyataka mwenyewe.
 
Kama ulivyo jieleza Eliza wewe ni decent na inaonekana wazi kwanza ni Verified user, unatumia Real Avatar kwa kifupi ni mtu ambae unaonekana simple mwenye kujipanga that said unaweza ukawa ni wife-material kwa iyo mwanume yoyote ataeweza ku-notice vitu kama ivyo ni raisi kutest bahati yake.

Wewe nikukabiliana nao kiakili tu labda ukiwaambia unae mtu wako na kama kunauwezekano wa kuwaonesha unaweza kuwavunja moyo..
kwa kuwa wengine ni watu mko nao office moja si sahihi kuonesha tofauti zenu hapo kazini jaribu kutengeneza mazingira ya kiutaniutani hili msichukiane nakuaribu kazi.

Asante sana...........huyu wa kazini nimejaribu kumuweka sawa, lakini naona king'ang'anizi but you have a point nimemwambia regardless of his feelings lazima kazi ifanyike hakuna fikra mbaya nikuwekana wazi tu na kila moja ana uchaguzi wake
 
Back
Top Bottom