Unapojali watu...

Mi naona ni bora wame toa dukuduku lao moyoni kuliko ku kaa kimya, swala lakuto kubali matokeo ni swala la mtu binafsi.

Ni bora anaye sema ukweli kuliko kunyamaza.
 
...Pole sana....inabidi ungangamare tu, huna sababu ya kujitenga na watu ambao uko nao karibu katika shughuli zako za kila siku. Kuhusu kuconfide kwa watu hilo achana nalo kabisa wengi ni wanafiki wanaweza kabisa kutumia uaminifu wako kwao ili wapate kile wakitakacho toka kwako lakini hili la kutongozwa lisikupe shida kabisa kiasi cha kukosa furaha katika maisha yako, kutongozwa ni kitu cha kawaida kabisa hicho hasa binti akiwa na mvuto.

Moja nimemueleza, mwengine sijui hata kwa kuanzia kwani huyo nilimchukulia kwa namna ya pekee na ndiye aliyekuwa my confidant ebu can you imagine?
 
Kwa baadhi ya wanaume hilo la kukugeuza kuwa adui yao pale unapowakataa kimapenzi ni jambo la kawaida kabisa, lakini lisikukoseshe usingizi. Inakuwa ngumu kama mko ofisi moja hii husababisha hata utendaji wa kazi kuathirika.

Halafu ukiwanyima wanakugeuza adui na huku mlikuwa mabeste...............hata sielewi
 
dada Elizabeth kutongozwa kusikupe shida, you are a woman its gonna happen a lot, just tell them unataka platonic friendship. watakaoelewa watabaki kuwa marafiki wazuri wenye mtazamao kama wako, wasioelewa potezea tuu. think of it as screening the incompatible friends away, utakaobakiza ndio true friends who will make it through thick and thin.

tabia yako ni nzuri endelea nayo. i wish more women were like you
 
Kwa baadhi ya wanaume hilo la kukugeuza kuwa adui yao pale unapowakataa kimapenzi ni jambo la kawaida kabisa, lakini lisikukoseshe usingizi. Inakuwa ngumu kama mko ofisi moja hii husababisha hata utendaji wa kazi kuathirika.

Umesema kweli kabisa kuwakataa sio tabu kabisa lakini shida ni hiyo kuharibu mahusiano ya kikazi, asante kwa ushauri kaka BAK kuna mengine uwa tunajifunza baada ya kupatwa na mikasa nadhani udhaifu wangu uko katika uaminifu uwaga ninauaminifu wa ajabu kwa jinsi utakavyoweza kutafsiri uaminifu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
dada Elizabeth kutongozwa kusikupe shida, you are a woman its gonna happen a lot, just tell them unataka platonic friendship. watakaoelewa watabaki kuwa marafiki wazuri wenye mtazamao kama wako, wasioelewa potezea tuu. think of it as screening the incompatible friends away, utakaobakiza ndio true friends who will make it through thick and thin.

tabia yako ni nzuri endelea nayo. i wish more women were like you

Asante Blaine though its not easy kujenga urafiki na kuufikisha katika nafasi ya juu kabisa in the end unakuja haribiwa na vitu vidogo.............i still believe in true friendship though
 
Last edited by a moderator:
Mi naona ni bora wame toa dukuduku lao moyoni kuliko ku kaa kimya, swala lakuto kubali matokeo ni swala la mtu binafsi.

Ni bora anaye sema ukweli kuliko kunyamaza.

Sawa hiyo haikataliwi lakini kwakuwa nikaribu na mhusika nimesoma kabisa kuwa huyu hakuwa na sababu za ukweli na uzito kuleta mapenzi ni kuwa tu ameona ile care and attention unampa hivyo akawaimislead kuna ziada, mfano atasema huyu mdada ananisikiliza kwenye simu hata kwa zaidi ya masaa 2 na hunipa maneno mazuri ya faraja na kunitia nguvu pia hunieleza kwa hali ya ukweli wa moyo wake basi hudhani ile bond mliyojenga ni kitu kingine kumbe its simply that kuwa ni moyo wako kuwa uko wazi na wa ukweli basi hudhani ana access ya kutumia vibaya ule moyo wako
 
Asante Blaine though its not easy kujenga urafiki na kuufikisha katika nafasi ya juu kabisa in the end unakuja haribiwa na vitu vidogo.............i still believe in true friendship though

Kwanza Mwanaume kukasirika na kuvunja urafiki
sababu ya kunyimwa k ni ushamba mno
ukiona mtu anakununuia sababu hiyo ujue tu ni mshamba na hastahili kupewa

angekuwa mjanja asingenuna na angeendeleza urafiki
na kutafuta kifaa kingine
 
Asante Blaine though its not easy kujenga urafiki na kuufikisha katika nafasi ya juu kabisa in the end unakuja haribiwa na vitu vidogo.............i still believe in true friendship though
true. the good thing is mara nyingi huwa temporary, it happened to me once but we reconciled soon after and the friendship became even stronger than b4. lakini ukiona jamaa anakomaa tuu basi he wasn't all truthful na usione tabu sana akiondoka. usually ni wachache watakaofika hio stage so usitegemee a large number (10+) ya true friends
 
dah, yaani umeniwahi tu
japo sikupanga kuanzisha sred

mie kuanzia jana nimehakiki, hakuna urafiki kati ya mke na mme.

Rafiki wangu wa high skul, jana kaanza kuniangalia kwa macho ya paka atazamavyo samaki.

Na mwingine co-worker wa miaka 5, leo anaongea makopa kopa! Dunia ina maajabu.

Nikasema ptuuuuu!
A hungry man is a dangerous man!
 
Sijui ni mimi ninayesemwa hapa......! LOL

black-couple-at-lunch.jpg
 
Je umeolewa?kama haujaolewa mi nadhan aliyekutongoza alipenda ukarimu wako kwake,thus why akaona si vibaya kama mtakua mme na mke,alijaribu kueleza hisia zake,sio mbaya tukafaamu wema uliokua unawatendea ili kupima kama wema huo unaweza kumvuta mtu karibu,nashindwa kupata picha ni aina gan ya wema
 
sijambo baya kuwajali watu nahasa marafiki zako!mazingira na aina ya urafiki wenu Inawezekana vimewashawishi wakueleze wanavyojisikia...usikasilike wala usipunguze heshima kwao lkn kuwa wazi kwao tena Ikiwezekana watambulishe kwa mwenzi wako au waalike hta lunch ukiwa na boyfriend wako!
 
dah, yaani umeniwahi tu
japo sikupanga kuanzisha sred

mie kuanzia jana nimehakiki, hakuna urafiki kati ya mke na mme.

Rafiki wangu wa high skul, jana kaanza kuniangalia kwa macho ya paka atazamavyo samaki.

Na mwingine co-worker wa miaka 5, leo anaongea makopa kopa! Dunia ina maajabu.

Nikasema ptuuuuu!
A hungry man is a dangerous man!

Yaani si utani......................mimi hadi kusema yote haya Kongosho iliwahi tokea kutishiwa maisha walah yaani yule kijana alikuja kwa unyenyekevu na kuniomba urafiki haikupita muda kaanza hadithi zake za sijui nakupenda sijui kitu gani kosa langu kumjibu ustaarabu kuwa haitawezekana tuwe tu just friends, akasema sawa kumbe bado ana jakamoyo si akaanza ooh mara twende dinner mara kunipigia simu uko wapi yaani alianza kunistalk fulani hivi meseji kwenye simu hazishi, nikasema isiwe tabu nikampa taarifa kuwa urafiki sitaki tena. Ni kama niliwasha moto akaanza meseji za vitisho akawatafuta hadi ndugu zangu na kuwaeleza eti nilikuwa mpenziwe na nimemlia pesa nyingi sana sasa nimemuacha ghafla so akawataka watusuluhishe, yaani ilikuwa ni tabu hadi nikaenda polisi....................yaani kuna wanamume wa ajabu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom