lol...mkeo analijua hili?
Hili si suluhisho....Dawa ni kumtimua.
Haya yote yanatokana na sie wazazi wa siku hizi kujitia tunakwenda na wakati...wazee wetu walikuwa wanajua majina na maana ya majina ya watoto wao kwa kuwa they used to name them after their relatives and elders. Sasa siku hizi na hizi imani za flani ana tabia mbaya so mtoto akirithi jina lake atakuwa kama yeye, sijui ni jina korofi n.k. ndo hapo kila mtu anatoa jina alipendalo, nasi tunakubali pasipojiuliza linakotokea (na siku hizi kuna vitabu na sites za majina) Mwe!!
Ukiona mumeo au mkeo anatoa jina la x kwa mtoto wenu jua wewe ni kama maji kutuliza kiu ya soda. Kwa ufupi ni kuwa umuoa/kakuo basi tu kwa kuwa mwenye hilo jina amemtolea nje. Kha! Hilo kosa kwa kweli ni ngumu sana kupata msamaha. Giving "our childe" your lovers name??? Wazazi kama hao ndio wanaobaka watoto wa kuwazaa. Mapenzi ya ex yanaamia kwa mtoto
Sikujua, Siyawezi, Majuto, Fikiri, Sikudhani, Pilli,Tatu............ do you mean these names?
Haya mambo yapo lakini. Kuna jamaa alisoma na hubby mwanae ana jina la binti nilyesoma nae mimi. Hubby aliwahi nambia kuwa jamaa alikuwa anamzimikia vibaya sana huyo binti ila sidhani kama aliwahi kumchukua. Hiyo stori alinambia wakati tuko wote college. Mume wangu hajuhi jina la mtoto wa huyo jamaa kwani they were not that much close na urafiki si wa kiivyo hasa baada ya kumaliza shule. Mimi najua kuwa mtoto wao ana jina la yule binti kwani nawafahamu wote huyo wife na binti mwenye jina. What I think ni kuwa mke hajuhi kuwa mumewe alikuwa amemzimikia mdada mwenye jina la binti yao. Siwezi kuthubutu kusema na najua mkewe hatakaa ajue.
badili hilo jina bwana sababu utamchukia mtoto wako wa damu sababu ya ujinga wa mama ake, kuna dada mmoja ameolewa ni mdogo wa rafiki yangu kajifungua mtoto kampa jina la mtoto wa x wake embu ona, kuna wasichana mafyatu sana,mume alipogundu dna ilifanyika na jina kubadilishwa kabisa sasa kwa vile alimkubalia mkewe kwa upendo tu ambatize kanisani kwake ameenda kafuta jina,anambatiza kanisani kwake ambako wanazamishwa majini..........mie huwa nachagua majina ya wanangu mwenyewe wala hana mchecheto huwa yeye
anaweka lile la kiruga basi
sio fyatu,kuna kitu hyu ex alichomkoleza mpaka basi
na huyo ex akija kuomba kukumbushia,kama kawa....trust me
hiyo ni kweli kabisa huyo mume si chaguo lake ila ni kama mwenye kiu ya soda na ela hana anaamua kunywa maji kwa vile hamna jinsi. Yani umzimikie ex mpaka na jina umpe naona ni sawa na kucheat tu inawezekana hata wakati wa mechi unavuta taswira ya ex.
Ukiona mumeo au mkeo anatoa jina la x kwa mtoto wenu jua wewe ni kama maji kutuliza kiu ya soda. Kwa ufupi ni kuwa umuoa/kakuo basi tu kwa kuwa mwenye hilo jina amemtolea nje. Kha! Hilo kosa kwa kweli ni ngumu sana kupata msamaha. Giving "our childe" your lovers name??? Wazazi kama hao ndio wanaobaka watoto wa kuwazaa. Mapenzi ya ex yanaamia kwa mtoto
Du how can one come up with such..................... is beyond me!!??? Anyways,what you have said, has no truth to it or whatsover.
CPU
Personally ,I am named after my father's university ex girlfriend. My mother knows this, I know it , infact my whole family is aware of this, and we do joke about it sometimes. Wazazi wangu met at uni so I reckon it was no biggy to ma, otherwise...............................................By the way, contrary to the quoted comment my father hajawahi kutaka kunibaka!?
<br />Daaah<br />
Gagu, why umuache mwezi wako kwa sababu ya jina?<br />
Kwani itakufanya ujisikiaje?
Habari wana JF
Nimekuwa nikijiuliza kwa namna fulani suala la uchaguzi wa jina la mtoto.
Mfano, mmezaa mtoto na mpenzi wako.
Wakati wa kupendekeza jina kwa mtoto, mpenzi wako akawa anasisitiza sana apewe jina fulani. Ukakubaliana nae.
Baada ya muda fulani, ukaja gundua kwamba hilo la mwanao ni jina la X-lover wa mpenzi wako
Utajisikiaje, au utafanyaje??
Badili hilo jina bwana sababu utamchukia mtoto wako wa damu sababu ya ujinga wa mama ake, kuna dada mmoja ameolewa ni mdogo wa rafiki yangu kajifungua mtoto kampa jina la mtoto wa x wake embu ona, kuna wasichana mafyatu sana,mume alipogundu dna ilifanyika na jina kubadilishwa kabisa sasa kwa vile alimkubalia mkewe kwa upendo tu ambatize kanisani kwake ameenda kafuta jina,anambatiza kanisani kwake ambako wanazamishwa majini..........mie huwa nachagua majina ya wanangu mwenyewe wala hana mchecheto huwa yeye anaweka lile la kiruga basi
Hiyo ni kweli kabisa huyo mume si chaguo lake ila ni kama mwenye kiu ya soda na ela hana anaamua kunywa maji kwa vile hamna jinsi. Yani umzimikie ex mpaka na jina umpe naona ni sawa na kucheat tu inawezekana hata wakati wa mechi unavuta taswira ya ex.