Unapofuta namba ya simu......

hakuna haja ya kujinadisha kila mara akijidai kila siku kaibiwa cm na wewe mpotezee tu!
 
tafakari chukua hatua na kama vipi mpe vipande vyake huyu kiumbe..

na kama limekupata hilo pole sana mkuu na lazima atakuwa ni mwanamke huyo..
 
Jamani, visimu vingine vidogo only 250 contacts. So mtu akipata namba yenye umuhimu sana, anachofanya ni kuangalia ipi isiyotumika mara kwa mara ili a-replace.
 
Hii huwa inatokea sana, alafu mtu akipigiwa simu huwa zinakuja sababu za "nimerenew line" au "nimepoteza simu". Kumbuka hawa wafuta namba wengine ni marafiki tu. Ninachojiuliza> inawezekana watu huwa wanakuwa na malengo gani wanapochukua namba na kuifuta baada ya siku chache? Nawasilisha.
bs miji2 mingne mwaka unaisha hajaku2mia japo sms. Ila cku ukimfuta lazma akupigie!
 
Back
Top Bottom