Unapoacha hela za ugali mchicha;unakuta wali na kuku la kienyeji

Mar 6, 2010
74
0
Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela hataki kusema...kaamua kupika kukumzima wa kienyeji na wali wako 3 tu...mzee kafikria kuhoji alipollala saa saba akafumba macho aanze kuuliz amama kasema ajibu mpaka asb..asbh ya leo tunasiki matusi mara kelele baba kamchapa mama bakora mama kaanza kufurumusha glass zote ndani amrushie mzee katoka damu inamwagika kama yuko siku zake...je ni haki kuuliza??
 
He lazima uulize na ujue ati,kieleweke kama kakopa,kaiba,kahongwa,kaokota,upatu...au?
kuuliza lazima muulize mkeo, kwanini matumizi yamezidi pesa ulioacha.Usipouliza utakuwa mwaume kama binti. ILA sielewi muda upi muafaka wa kuuliza, je ni baada ya kushiba huyo kuku au kabla hujala?
 
mambo ya ndoa ni magumu, ukiwa umefulia ni noma na ukiwa nazo ni noma pia
 
He lazima uulize na ujue ati,kieleweke kama kakopa,kaiba,kahongwa,kaokota,upatu...au?
kuuliza lazima muulize mkeo, kwanini matumizi yamezidi pesa ulioacha.Usipouliza utakuwa mwaume kama binti. ILA sielewi muda upi muafaka wa kuuliza, je ni baada ya kushiba huyo kuku au kabla hujala?

na ukiuliza baada ya kula ukaambiwa nimehongwa...na wewe unakuwa umecompromise kuhongeka kwa mkeo? bora kuuliza kabla ya kula....but kama una njaa? aghhhhhh
 
Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela hataki kusema...kaamua kupika kukumzima wa kienyeji na wali wako 3 tu...mzee kafikria kuhoji alipollala saa saba akafumba macho aanze kuuliz amama kasema ajibu mpaka asb..asbh ya leo tunasiki matusi mara kelele baba kamchapa mama bakora mama kaanza kufurumusha glass zote ndani amrushie mzee katoka damu inamwagika kama yuko siku zake...je ni haki kuuliza??

mama ni mjasirimali wa kisirisiri amwache aendeleze libeneke....siku si nyingi atamwambia wanahamia Masaki na watato wanaachana na shule za jamii mambo private tu!
 
Wanaume bwana, yaani hadi aone anaibiwa ndio ataanza kuchachawa, maswali na wasiwasi mwingiii, utadhani alichokuwa anakifanya yeye mwenzie kilikuwa hakimuumi! Looh! pole zenu!
 
Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela hataki kusema...kaamua kupika kukumzima wa kienyeji na wali wako 3 tu...mzee kafikria kuhoji alipollala saa saba akafumba macho aanze kuuliz amama kasema ajibu mpaka asb..asbh ya leo tunasiki matusi mara kelele baba kamchapa mama bakora mama kaanza kufurumusha glass zote ndani amrushie mzee katoka damu inamwagika kama yuko siku zake...je ni haki kuuliza??
mada zako leo za misosi misosi tu hadi nasikia njaa,anyway turudi kwenye mada,huyo mdingi nae hana dili,ikifikia unaacha hela ya mchicha homu kila siku inamaana ushafungulia milango ya mama aende akamegwe nje,kwahiyo ukijarudi ukakuta nyama,pilau,bata,hutakiwi kuuliza maana ndio dhamira yenyewe jipigie msosi wako jinyooshe.
 
na ukiuliza baada ya kula ukaambiwa nimehongwa...na wewe unakuwa umecompromise kuhongeka kwa mkeo? bora kuuliza kabla ya kula....but kama una njaa? aghhhhhh
eeeeh,eeeeh ikizuka vagi/ugomvi utauweza wakati una njaa? si una jua akina mama wengine ni wababe? kwa nini usishibe kwanza?
 
Mkewe ni golikipa?labda alilipwa deni lake na mtu je.Pia sahukuru kwamba mkewe anamdai vinginevyo huku nyuma wenzake wangejichana na yeye akaambulia mchicha bila kujua kuwa wenzake wamekula vinono.
 
Back
Top Bottom