Unapewa uraisi Tz kwa masaa 24 utatumia vipi nafasi yako?

Wagombanao ndy wapatanao!
Mkijapatana na Mnara ushaukata, mtajikulaje ?
Si ndiyo utakua unakuliwa chocho, hom kulala tu ?

watamsaidia mchana yeye usku akuwa anarud kulala tu!!
 
watamsaidia mchana yeye usku akuwa anarud kulala tu!!

Secretaryiiiiiee
kuja jibu hawa mineno!
Wanakuuliza eti utakua wala nini ? Na kono la Tembo ushalibabadua, huko Magwe ?
Namie nijuavyo bila "mkono wa Tembo" kuwepo kwa ma'ladies maisha hayapo .
 
Secretaryiiiiiee
kuja jibu hawa mineno!
Wanakuuliza eti utakua wala nini ? Na kono la Tembo ushalibabadua, huko Magwe ?
Namie nijuavyo bila "mkono wa Tembo" kuwepo kwa ma'ladies maisha hayapo .

hahahaaaaaahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!teh! Teh!
 
Secretaryiiiiiee
kuja jibu hawa mineno!
Wanakuuliza eti utakua wala nini ? Na kono la Tembo ushalibabadua, huko Magwe ?
Namie nijuavyo bila "mkono wa Tembo" kuwepo kwa ma'ladies maisha hayapo .

af nikishika uraisi kwa 24 hrs watu kama hawa nawaagizia dr kutoka apolo india
watawekewa mikono ya marehemu ambao walikuwa imara
hapo vip??
 
af nikishika uraisi kwa 24 hrs watu kama hawa nawaagizia dr kutoka apolo india
watawekewa mikono ya marehemu ambao walikuwa imara
hapo vip??

Ssubhuutuh! Hiyo makitu hata Mchina hajaweza kuibumba! Labda yule mdau mwenzake anaempaga hifadhi, huyo ndo hubumbika very simple.
 
Namchukua JK awe mshauri wangu wa SAFARI.
Tutaaanza trip ya masaa 24 kuelekea miji yoyote itakayochuka muda huo, kuanzia alfajiri mpaka alfajiri ya siku ya pili. Nikirejea nitakuwa ninmeshamvunjia rekodi Vasco da Gama.
 
Judgement. Bishanga. Erickb52. mnafanya juhudi za kufuata nyayo za babu yenu Asprin. safari njema.
 
Namchukua JK awe mshauri wangu wa SAFARI.
Tutaaanza trip ya masaa 24 kuelekea miji yoyote itakayochuka muda huo, kuanzia alfajiri mpaka alfajiri ya siku ya pili. Nikirejea nitakuwa ninmeshamvunjia rekodi Vasco da Gama.

huwezi kumfkia huyu ratio yake kamzid hata obama!
 
huwezi kumfkia huyu ratio yake kamzid hata obama!
Kweli Mkuu, Obama tangu awe Rais kaja Afrika mara ngapi na VdaGama kaenda US mara ngapi

VdaGama kamzidi hata John Walker mwenyewe.
 
1. Nitamwachia huru papii kocha,babu seya simuachii ng'o.
2. Chenchi ya rada nitahakikisha watoto wote inji hii wanapata kiti na desk,aibu jamani wanetu kukalia mawe.
3.NBC nitaitaifisha,hivi kwa nini tuliiuza?
4. Nitapiga marufuku uanzishwaji wa migodi mipya,kama hatuwezi kuchimba wenyewe kwa mtaji wetu bora tuviachie vitukuu vitajua la kufanya,sio wakute mashimo.
5. Mwisho but more importantly nitamkaribisha dina ikulu The secretary.

Je, unafikiri huu ushauri unawafaa wale wanaokwenda kuchukua nchi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom