Unapewa uraisi Tz kwa masaa 24 utatumia vipi nafasi yako?

lazima ningechukua umiliki wa migodi, ardhi maelfu ya ekari, ningejimegea pande la bahari nikajenge hoteli inayoingia hadi baharini kama double tree,



bado utakuwa na wewe ni fisadi kwa kujipendelea wewe tu!!
 
1. Nitamwachia huru papii kocha,babu seya simuachii ng'o.
2. Chenchi ya rada nitahakikisha watoto wote inji hii wanapata kiti na desk,aibu jamani wanetu kukalia mawe.
3.NBC nitaitaifisha,hivi kwa nini tuliiuza?
4. Nitapiga marufuku uanzishwaji wa migodi mipya,kama hatuwezi kuchimba wenyewe kwa mtaji wetu bora tuviachie vitukuu vitajua la kufanya,sio wakute mashimo.
5. Mwisho but more importantly nitamkaribisha dina ikulu The secretary.

ningempeleka BISHANGA honeymoon
 
Last edited by a moderator:
Nitabadilisha system ya Uongozi kabisa, kuna haja gani ya kutoa maamuzi ambayo utekelezaji wake

hauwezi kufanyika ndani ya masaa na akirudi mwengine kufuta yale maamuzi? Dawa ni kubadilisha

misingi ya Uongozi na kiburi inayowapa nguvu ambazo ni absolute. else kama tuko kujifurahisha

kama hadidhi za ukiokota pesa itakuwa vipi? :nerd:
 
Ona ulivyotepeta!
Tepweeetee!
Kumbe alishakunasa?
Na mishebeduo na mishauzi uliyokua nayo!
Bashaija kama anapaka slesi siagi vile !
Kakunasia ikulu ya kwenye screen!

refer to topic please!!if i could have a chance of being a presda of tz, i would do so to bishanga
 
Nitamtoa Lulu mahabusu na kumpeleka uwanja wa Taifa. Halafu naruhusu kila aliyepo apendekeze nini afanywe Lulu.
 
me nkipewa uraisi, ntahakikisha wabunge wanalipa kodi, mishahara yao wabadilishane na madaktari make madr wana kaz ngumu jaman co siri. imagine mtu ananusuru maisha ya mwenzie. hebu jiweke position ya dr.afu u-imagine adha wanayokumbana nayo kha! huwa inaniuma sana!
 
Yaaani fasta within 4 hours ntataka kujua balance ya account ya epa BOT afu ntaagiza waweke kwenye akaunti langu kama vi trilioni vi 5..pili ntahakikisha naweka mademu zangu kwenye post haza za udc kusudi nikiwa naenda kwenye ziara nisipigwe na baridi mie..tatu kuna polisi pale urafiki alinioneaga zamani akaniweka ndani yaani nampa kesi la uhaini..bila shaka itakuwa 24 hours zimeisha..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaaani fasta within 4 hours ntataka kujua balance ya account ya epa BOT afu ntaagiza waweke kwenye akaunti langu kama vi trilioni vi 5..pili ntahakikisha naweka mademu zangu kwenye post haza za udc kusudi nikiwa naenda kwenye ziara nisipigwe na baridi mie..tatu kuna polisi pale urafiki alinioneaga zamani akaniweka ndani yaani nampa kesi la uhaini..bila shaka itakuwa 24 hours zimeisha..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums



umepewa masaa 24 ukafanya hivyo huo utakuwa ufisad sasa atayerud kwenye kiti
chake unashtakiwa kwa ufsadi kudadeki!
 
Ntaagiza kila nyumba,gari,hospitali,gereji,ofisi,shule,daladala n.k vinakuwa na kaunta ya vinywaji ili kuongeza ufanisi kazini!
 
Back
Top Bottom