Unapenda taarab?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna kitu kipya nawaletea wapenda taarab... Nafikiria namna ya kukitambulisha kwenu... Kipya na kikali! Nimekikubali, naamini ukikipata huenda nawe ukajikuta unaburudika haswa...!

Get prepared... Bashiri ni kitu gani!
 
Mzee Yusuf, si mwingine...wachezea koki weye, utalowa ati. Soda ya kopo....na leo tena wanogewa mpaka wavunja kikapu. Mambo ya Nataka Paja mie.. teh teh teh..hebu kishushe mkuu
 
Tuweke tuburudike mkuu,lazima kitakuwa kibao kikali. Mambo ya mwambao kama kawaida burudani kweli.
 
Mzee Yusuf, si mwingine...wachezea koki weye, utalowa ati. Soda ya kopo....na leo tena wanogewa mpaka wavunja kikapu. Mambo ya Nataka Paja mie.. teh teh teh..hebu kishushe mkuu
Hizo zote zipo hapa:

JF Taarab

Bado...

Nakuleteeni kitu na naamini mtakubaliana nami kuwa kitu 'kimesimama' kisawasawa!
 
Hallo hallo, kidole juu babu! duh, yaburudisha yakhe..."wangu nimzibiti (balanta)..." heeeeeeeee, weweya!
 
Mzee Yusuf, si mwingine...wachezea koki weye, utalowa ati. Soda ya kopo....na leo tena wanogewa mpaka wavunja kikapu. Mambo ya Nataka Paja mie.. teh teh teh..hebu kishushe mkuu
tehe tehe tehe tehe teeh hii makitu nilikuwa sipendi baada ya kupata kitu cha kizenji nikajikuta naanza kurusha vidole hewani kama tiara
 
Nilikimbilia hii thread nikajua ni yale mambo ya taarabu imo?

My Dear hujakosea ila ni kwamba kuna kibao matata cha taarabu Robot atatuwekea JF tukisikilize. Kwahiyo kaa mkao wa kukisikiliza maana najua na wewe hujakipata...
Unaijua na hii ya muda kidogo 'Bunduki bila risasi'?!...Haloo
 
My dia hebu njoo kidogo basi tucheze taratibu taarabu za Juma Balo ama Bi Kidude....unawajua hao Bellies!
 
My dia hebu njoo kidogo basi tucheze taratibu taarabu za Juma Balo ama Bi Kidude....unawajua hao Bellies!

Umenikumbusha mbali,1960(usicheke kwa nguvu,LOL)!..Nawakumbuka hao wakongwe,tusubiri na hicho kibao kipya tuburudike vizuri. Hope by end of the week,kitawekwa hapa JF!...
 
Heheheh Shem tafadhali...huyu bint analindwa na mitambo ya kuzuia mabazazi ...hutakiwi kuuliza....ni mimi tu hahahah sawa?
Shem hata mie? mbona mie joka la kibisa sina sumu.....BJ ni mkata issue mwenzangu tunamkoma nyani hapa hapa.....
 
Shem hata mie? mbona mie joka la kibisa sina sumu.....BJ ni mkata issue mwenzangu tunamkoma nyani hapa hapa.....

hahahah yale majoka ya Kibisa likipata upenyo linaweza panda juu ya mti hahahaah unaikumbuka ile story ya Kenya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom