Ndiyo ipi au unabahatisha kila siku??
Babu DC!!
black my favourite color of all time
Vyovyote tu kaka,
wewe sema tu hata kama utatuchanganya kama Lizzy!!
Mie pia ni napenda sana rangi ya blue . Ngoja niishie hapo ...nimeambiwa nina ugonjwa nayo lol!