Unapenda rangi gani???

Nimejikuta napenda sana rangi ya blue is the most preferable colour ....ingawa pia napenda while katika mazingira ya MMU!!

Wewe unapenda rangi gani?

Babu DC!!

Heshima yako kwanza babu.

As for me the best colour is red, then follow white and last carrot

Zingine just for fun

Good Sunday Babu DC
 
Poa sana,

Hivi mtu huwa na sababu ya kuchagua rangi au ni kwa bahati mbaya kama ilivyomtokea Babu DC!!
 
Mi naona ni automatic tu unavutiwa babu.

Au pia wengine inategemea rangi hyo anaitunia ktk nini, mavazi, mapambo, maua, sherehe, gift parcel n.k
 
Ahsante sana,

Mie nilidhani sina dira wa mwelekeo na ndiyo maana sijui kwa nini naipenda sana blue.....

Umenisaidia sana kupunguza ugonjwa wa kisaikolojia!!

Ubarikiwe sana,

Babu DC!!
 
mim si mpenzi sana wa crazy colours...yani kuna yale marangi yana waka waka sana...makali makali yale...!that being the case naweza sema napenda sana blue na nyeupe..!

diisii tuwasiliane aisee...!u hali gani bro?
 
Napenda rangi ya pink coz nirangi zuri kwenye mapenzi?pia ukivaa nguo ya pink inatoa mwake sana.ina fatiwa na colour of the year nyeusi.good day
 
Be blessed too.
Na pole kwa kusikolojiwa na rangi.

Tena unajua babu rangi ya BLUE nzuri sana, basi tu.

Karibu tena.
 
Hahahaha,

Kaka hizo rangi kali kali unataka kuwaumiza watu??

Mie nipo mkuu....Nasubiri kuona majaliwa ya washikaji wangu kesho...si umesikia mkwara wa PM??

Babu DC!!
 
Napenda rangi ya pink coz nirangi zuri kwenye mapenzi?pia ukivaa nguo ya pink inatoa mwake sana.ina fatiwa na colour of the year nyeusi.good day

Ahsante sana ndugu,

Umeanza vizuri sana ila hapo (my colour) ndiyo umeharibu kabisa!!
 
Be blessed too.
Na pole kwa kusikolojiwa na rangi.

Tena unajua babu rangi ya BLUE nzuri sana, basi tu.

Karibu tena.

Kweli Koku,

Umenifanya nishushe pressure yangu toka 140/100 hadi 110/65......

Naweza kupumzika kwa amani na kumalizia week end!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom