Unapenda music soma hapa

Ibang

Senior Member
Dec 15, 2011
121
22
Habari ,
Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ina playlist ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo inaenda kwa url ya www.facebook.com/officialmambomusik

Page hii itasaidia kuinua mziki wa kiafrica ambapo itampa fursa msanii wa Kitanzania na Africa kuweza kusikika duniani kote
Page itahusisha playlist ya music wa kiafrica, biography zao na habari mbali mbali kwa upande wa wasanii ili nyimbo zao ziweze kuwekwa kwenye playlist yetu ni BURE kabisa na anaweza tuma katika email yetu ya
isubmission@yahoo.com
Shukrani,
Mambo Musik Team
 
Back
Top Bottom