NG'ADA Senior Member Sep 2, 2011 152 15 Sep 27, 2011 #1 hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu?
hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu?
BBJ JF-Expert Member Sep 2, 2011 1,181 160 Sep 28, 2011 #4 NG'ADA said: hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu? Click to expand... ili iweje..!!!?
NG'ADA said: hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu? Click to expand... ili iweje..!!!?
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,910 1,131 Sep 28, 2011 #5 Ukisikiliza ya watu utakonda, afadhari usijue kabisa maana maneno ni sumu.
daughter JF-Expert Member Jun 22, 2009 1,275 745 Sep 28, 2011 #7 sijawahi kutamani kujua,and am very happy