unapajua hapa

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
DSC01877 (Large).JPG

unapajua hapa?
 
Bagamoyo hapo kanisa la tangia enzi za Livingstone aliye bebwa na akina Susi na Chuma toka zambia hadi Bagamoyo.
Fika pale usimuliwe hadithi ya Binti Siwema, utalia mpaka basi!! inasikitisha sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom