unapafahamu kwa mama ngoma??

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
sasa hivi ocean road hamna vifaa vya kupimia salatani. wagonjwa wanaelekezwa waende kupatiwa huduma kwenye hospital binafsi mali ya mfanya kazi wa ocean road.
Ndo maana hospital zetu hazina vifaa kwa sababu makusudi ili vifaa vikikosa serikalini madoctor wapate wateja kwenye hospitali zao binafsi.
Hii hali sio nzuri na haina tija kwa watanzania.
 
mmiliki wake ndio mkurugenzi wa ocean road
hospitali ipo mwenge nyuma ya kammbi ya jeshi
kama alinunua kwa fedha zake unataka ahamishie ocean road hicho kifaa?
umejuaje kama hajapewa na wafdhili wake? ukiwa daktari ni rahisi sana kupata vifaa bure nchi za ulaya
na uzuri havina kodi,nashangaa serikali kwanini inazembea kupata hivo vifaa nje wkt vipo.
 
Alisoma Ujerumani, alipoagiza vifaa vya serikali na yeye alichomeka contena zake mbili zikawa cleared na gvt zilipopelekwa kwake, wafanyakazi wakapiga kelele kwa kudhani ameiba vya serikali.

Tatizo ni vinavyo haribika ni vile vya serikali, vya kwake haviharibiki hivyo wagonjwa kuelekezwa kwenda kupima kwake!.

Nilichoka pale alipoulizwa hilo la kuelekezwa kupima nje aliruka kimanga!.

Kiukweli tunalo tatizo la kimaslahi kwa madaktari wetu wanaopratice private!.

Mashine ya Citi Scan na MRI za Muhimbili zilikufa kitambo!. Mgonjwa unaelekezwa kwenda kupiga Regency kwa 500,000 na ambulance yao 100,000. Ukifika kule unamkuta oparator ndiye yule yule wa Muhimbili kule ni part time!.

Ukitibiwa Muhimbili ukijiona hujaridhika, unaelekezwa hospitali binafsi ya kwenda!. To your surprise unamkuta huyo ndio yule yule daktari wako wa Muhimbili!.

Unaandikiwa dawa, unakuta Muhimbili hawana, yule pharmasist anakuelekeza duka la dawa la kuipata!.

Mimi natumia kimashine cha TENS kufanyia phyisio pale Muhimbili. Ili kupunguza usumbufu wa kwenda yule therapist wako anakushauri akuagizie mashine yako awe anakuja kukufanyia home. Unamuuliza bei anakuambia ni US.$ 600, unaomba model number, una search kwenye net, to your surprise kumbe ni US $ 100! plus postage!. Yaani mtu unavuna US $ 500 nzima toka kwa poor sick person simply because yuko desparate!,

Hata baadhi ya recomendation za India pia ni dili!.

Pasco!.
 
Duh! Pasco umenikumbusha ndugu yangu mmoja ni supper specialist Arusha. Aliwahi kumuambia best friend wa mamangu anahitaji kuenda India. Nikagoma kuchangia nikasema recommendation ya India itaanzia Muhimbili. Akaja maskini, kufikia hosp wakatuambia ana kansa imesambaa mwili wote hata hakuna muda mrefu. Alifariki miezi 3 toka afike kwa matibabu. Kumbe yule ndugu ana commission yake kila akipeleka kichwa!

Kama ni hukumu Mungu anahitaji change of plan. Akicheza hapati mtu, wote ni waovu!
 
Sasa mulitegemea madaktari wakale wapi? Centro Police au......?
 
Jaman hili sala la private hosp lishakuwa ni tatizo kabisa, nyingine hazitibu bali kuharibu kabisa hata wale wenye majina makubwa sijui ni ili wapate hela zaid? bora hata hapo kwa mama ngoma mimi kuna moja nilienda kibaha kwa DR BAKE lol nilichovuna Mungu ni shahidi.

Despite sifa zote nilizopata nilikutana na madudu ya ajabu hosp ni mbaya kuliko choo cha gereza, iyo bei unakimbia usafi hakuna kabisa. Dr yeye tu hana msaidizi zaid ya mtu wa anesthasia. anaowafanyia upasuaji hawapitii kwenye zile taratibu za kawaida kama zinvyotakiwa like lab investigation kujua kama mgonjwa atahitaj nini in advance lol.

% kubwa ya wagonjwa wanapata infection wanakuja ku end up na ma osteomlitis yasiyotibika kwasababu ya infection. wakifika huko Moi miguu inachomolewa ukibahatika ndo utibiwe kwa mamilion mengine lol maskini anashida sana.

Hivi kweli wizara ya afya kwanini hamuwafungii watu kama hawa? na je kwa hapa kwetu unaweza kushtaki wapi case kama hizi?
 
Mkuu gfsonwin nchi yetu inatisha sana kusema kweli hospitali zetu hovyo, madawa fake, vifaa hospitalini hakuna kabisa. Kila siku ya Mungu unaomba wewe na wote wale uwapendao msiugue maana kule hospitalini badala ya kutibu kunaweza kukawa chanzo cha kumuongezea ugonjwa mgonjwa.
 
Last edited by a moderator:

huu ni ukweli kabisa BAK ila inamaana serikali chini ya tbs na tfda inafanya nini? mambo ya afya ni ya muhimu sana kwani ni gharama sana kutibu afya iliyoharibiwa, na pia ni kumpotezea sana mgonjwa muda wa kujenga taifa. Poor Tz utaskia tu ooh! Bakai hosp chafu lakin haifungiwi kwanini? mimi sielewagi hata kidogo maana ya haya.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Pasco mambo unayoyasema humu ni muhimu zaidi...na sina hakika kama serikali yetu inapo-promote private service providers kwenye sekta muhimu kamaya afya huwa inafahamu fraud kama hizi na sometimes zinaweza kugeuka kuwa subbotage (hujuma). Si ajabu vifaa vya umma vinawezaa kuwa tempereed with ili watu wakose msaada na kwenda kupata tiba kwenye hospitali/zahanati zao. But then unajiuliza is that ethcal?
Alisoma Ujerumani, alipoagiza vifaa vya serikali na yeye alichomeka contena zake mbili zikawa cleared na gvt zilipopelekwa kwake, wafanyakazi wakapiga kelele kwa kudhani ameiba vya serikali.

Tatizo ni vinavyo haribika ni vile vya serikali, vya kwake haviharibiki hivyo wagonjwa kuelekezwa kwenda kupima kwake!.

Nilichoka pale alipoulizwa hilo la kuelekezwa kupima nje aliruka kimanga!.

Kiukweli tunalo tatizo la kimaslahi kwa madaktari wetu wanaopratice private!.

Mashine ya Citi Scan na MRI za Muhimbili zilikufa kitambo!. Mgonjwa unaelekezwa kwenda kupiga Regency kwa 500,000 na ambulance yao 100,000. Ukifika kule unamkuta oparator ndiye yule yule wa Muhimbili kule ni part time!.

Ukitibiwa Muhimbili ukijiona hujaridhika, unaelekezwa hospitali binafsi ya kwenda!. To your surprise unamkuta huyo ndio yule yule daktari wako wa Muhimbili!.

Unaandikiwa dawa, unakuta Muhimbili hawana, yule pharmasist anakuelekeza duka la dawa la kuipata!.

Mimi natumia kimashine cha TENS kufanyia phyisio pale Muhimbili. Ili kupunguza usumbufu wa kwenda yule therapist wako anakushauri akuagizie mashine yako awe anakuja kukufanyia home. Unamuuliza bei anakuambia ni US.$ 600, unaomba model number, una search kwenye net, to your surprise kumbe ni US $ 100! plus postage!. Yaani mtu unavuna US $ 500 nzima toka kwa poor sick person simply because yuko desparate!,

Hata baadhi ya recomendation za India pia ni dili!.

Pasco!.
 
Jaman hili sala la private hosp lishakuwa ni tatizo kabisa, nyingine hazitibu bali kuharibu kabisa hata wale wenye majina makubwa sijui ni ili wapate hela zaid? bora hata hapo kwa mama ngoma mimi kuna moja nilienda kibaha kwa DR BAKE lol nilichovuna Mungu ni shahidi.

Despite sifa zote nilizopata nilikutana na madudu ya ajabu hosp ni mbaya kuliko choo cha gereza, iyo bei unakimbia usafi hakuna kabisa. Dr yeye tu hana msaidizi zaid ya mtu wa anesthasia. anaowafanyia upasuaji hawapitii kwenye zile taratibu za kawaida kama zinvyotakiwa like lab investigation kujua kama mgonjwa atahitaj nini in advance lol.

% kubwa ya wagonjwa wanapata infection wanakuja ku end up na ma osteomlitis yasiyotibika kwasababu ya infection. wakifika huko Moi miguu inachomolewa ukibahatika ndo utibiwe kwa mamilion mengine lol maskini anashida sana.

Hivi kweli wizara ya afya kwanini hamuwafungii watu kama hawa? na je kwa hapa kwetu unaweza kushtaki wapi case kama hizi?

Pale kwa Dr Bake ni hatari sana.......mama yangu alikuwa ameambiwa afanyiwe upasuaji wa uti wa mgongo (discs). Nilivyo waona wagonjwa waliopasuliwa naye wanafanya post surgery treatment na bado hawajapona niliingia wasiwasi. Nikaamua kufanya utafiti nikawauliza watu mbalimbali....majibu niliyopata nikaahirisha nikamatafuta Dr. Mndolwa wa Muhimbili akanishauri vizuri tukamfanyia mgonjwa MRI pale Regency ikaonekana hakuna haja ya upasuaji isipokuwa mazoezi ya viungo. Sasa ni miezi nane mama yuko ok kabisa......namshukuru sana Mungu
 
aisee wewe ulikuwa na Mungu sana au sijui niseme ni mama ndo alikuwa na mungu, manake ungejichnganya kufanya tu basi angekuwa kilema maisha. Binafsi amenigharimu sana na kama siyo muhimbili mgonjwa wangu angekufa. lakin nashukuru sasa hivi amepona. Dr bake hosp yake inatakiwa ifungwe kabisa. inaua watu nenda mMOI wagonjwa wanauakuja kwaajili ya correctional ni wengi sana wametoka kwa baki.sipend hata kumsikia.
 
mkuu pasco hizi habari ni nyeti mbona hamzitoi kwa media wananchi wakajua ukweli
kwani tunategemea nyie kuwa investigative journalist kuanika uozo.
 
Katika taarifa ya habari leo saa mili usiku, huduma za X RAY pale hospitali ya DR BARKE imesitishwa na kufungwa kabisa. wameonyesha majengo na sehemu yenyewe hapafai kabisa.
 
dr. prof. twalibu ngoma ana mbwembwe huyo na ana watoto wawili pia ni madaktari, ila nikiwa bongo land nilitibiwa na kupona kwenye hospitali yake pale
 
mkuu pasco hizi habari ni nyeti mbona hamzitoi kwa media wananchi wakajua ukweli
kwani tunategemea nyie kuwa investigative journalist kuanika uozo.
Mkuu Lokissa, investigative journalism, inahitaji guts, nilipokuwa young bila family, niliweza, sasa ni family man, nimeweka mbele maslahi ya family kwanza ndipo ya taifa yafuate. Sidhani kama kuna Watanzania amnapo japo wanakumbuka kuna mtu aliitwa Stan Katabalo, investigative journalism kwanchi zetu masikini zisizo na life insurance ni risk. Rafiki yangu Jerry Muro amerudi TBC na mtamuona atakuwa kajifunza!.

Uandishi unaolipa zaidi ni kazi kama aliyofanya Salva kule Mtanzania na sasa alipo!.JK akimaliza, jamaa ni ubalozini!.
 
mini nadhani uandishi ni wito pasco
hivo unapaswa kujitoa mhanga kuokoa taifa lako. Ungeanika uozo wa huyu bwana wengi wangesalimika
kwani yaonyesha kwa maksudi huyu dr anawatuma watu ktk hospital yake ili walipie pale
na yawezekana pia kifaa hicho hapo ocean road kinafanya kazi.
Inakuwaje chombo cha habari kiwaajiri bila kuwapa insurance?
Acha woga na sidhani kama kuna ugumu mkubwa wa kupeleleza ocean road na hospital ya huyu bwana tena pale ukiwapa wafanyakazi wa hapo kiasi kidogo sana utapewa full data.
USIOGOPE KWA AJILI YA KULINDA MASLAHI YA WENGI
JITOE MHANGA KAMA YESU ALIVOKUFA KWA AJILI YETU
FAMILIA YAO INALINDWA NA MUNGU NA SIO WEWE.

Back
Top Bottom