rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
wakuu nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana television zetu,Tbc,Star,Itv nk
mnaonaje je mnaridhika na huduma yao au unasema tutafanyeje??
mimi binafsi sijaridhika kamwe,nahisi wanafanya mambo wanayotaka wao,
je ni muhimu wafanye au waonyeshe tunachotaka kuona??
mnaonaje wakuu?