Unaonaje hii? Embu toa maoni yako.

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
wana mmu,
First of all happy valentine's to you all. Baada ya salamu nauliza hivii, hivi inakuaje kwa wanaume kama mpenzi wako amekuzidi umri? Na kwa wanawake unajiskiaje kama umemzidi mpenzio (mwanaume) umri? Maoni yenu please. . .
 
Kawaida tu kwani mapenzi hayachagui umri,ila kama mwanamke amemzidi mpenzi wake mie nadhani asimzidi zaidi ya miaka 2.
 
Kawaida tu kwani mapenzi hayachagui umri,ila kama mwanamke amemzidi mpenzi wake mie nadhani asimzidi zaidi ya miaka 2.

Mmm...so tuseme kama kakuzidi miaka mitatu hivi, is that too old for you?
 
wana mmu, First of all happy valentine's to you all. Baada ya salamu nauliza hivii, hivi inakuaje kwa wanaume kama mpenzi wako amekuzidi umri? Na kwa wanawake unajiskiaje kama umemzidi mpenzio (mwanaume) umri? Maoni yenu please. . .
mbona safi tu sema tumeasiliwa na urithi toka kwa adam na eva kuwa eva alimfutia adam ndio tatizo..
 
Have you ever tested Mari.wana? Or mashati ya shule? It feels good!
Ngoja nikuambie kama baba alivyomwambia Mr. Bones "Don't be scared to test the breast of a woman"
Mf! Kongosho bana...ndio najua inakua kama mtu na mpenzi wake sawa, how do you actually feel?
 
Haina tatizo mkuu ukipitwa umri na mwanamke, umri kitu gani???
Angalia tu kama mnapendana kwa dhati!!
Ana vigezo vyote vinavyofaa kuwa mkeo wa ndoa km tabia njema n.k!
Hilo ndo la muhimu mkuu.
:A S-coffee:
 
Rahisi kusema age is nothing but but a number laking ukija kwenye reality mmmmmh wala sio tamu kwaupande wangi mie....
 
Back
Top Bottom