Unanswered Question: Kitabu cha KIKWETE kimeuzwa nakala ngapi?

Adolf Mark

Member
Nov 4, 2011
50
26
Ilikuwa ni December 11, 2010 pale Kitabu kinachokwenda kwa jina la "A Political Biography of Jakaya Kikwete" kilichoandikwa na anayejiita prof Julius Nyang'oro kilipozinduliwa kwa "mbwembwe" katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam.

Haitoshi tukaambiwa kuwa gharama ya kitabu kimoja itakuwa Tsh 25,000 (ambayo kwa watanzania wengi ni ndoto) lakini pia tukaambiwa vitaanza kuuzwa UDSM, Pia vimeandikwa kwa kiingereza (watanzania wengi hawajui), sasa ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja na miezi miwili tangu kitabu kizinduliwe nataka kufahamu;
a. kimeuza nakala ngapi?
b.kwanini bei ilipangwa kubwa? Je, ili masikini wasinunue au alijulikana hakitauzika?
c.kwanini hakikugawiwa bure? mbona CCM wanapesa ya kumwaga tu? kama ya kununulia mabango na kulipana "miposho"
d.Mbona kitabu hiko hakipo mitaani? ni gharama sana au hakiuziki? kwanini?
e. Je nini kifanyike? kitabu hiko kigawiwe bure?

SOMA ZAIDI: http://ikulublog.com/2010/12/profesa-nyangoro-aeleza-sababu-za-kuandika-kitabu-cha-jk/ na https://www.jamiiforums.com/habari-...o-author-of-kikwete-bio-resigns-from-unc.html
 
Mtanzania atanunua kitabu chenye pass ya uchumi ya rais, au atanunua msosi na matibabu kwa familia?!
 
si bora angetungiwa kingunge? Watu tungepata angalau udadisi wa kumsoma huyu atheist anayeapa kwa kutumia katiba. Mtu ambaye hajulikani umri wake. Mtu ambaye hazeeki. Tungenunua hicho
 
Sijui lengo la Nyang'oro lilikuwa nini katika kuandika kitabu hiki, ila nadhani naye hana integrity; amewahi kukumbwa na kashfa kazini kwake huko North Calorina.
 
Ilikuwa ni December 11, 2010 pale Kitabu kinachokwenda kwa jina la "A Political Biography of Jakaya Kikwete" kilichoandikwa na anayejiita prof Julius Nyang'oro kilipozinduliwa kwa "mbwembwe" katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam.

Haitoshi tukaambiwa kuwa gharama ya kitabu kimoja itakuwa Tsh 25,000 (ambayo kwa watanzania wengi ni ndoto) lakini pia tukaambiwa vitaanza kuuzwa UDSM, Pia vimeandikwa kwa kiingereza (watanzania wengi hawajui), sasa ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja na miezi miwili tangu kitabu kizinduliwe nataka kufahamu;
a. kimeuza nakala ngapi?
b.kwanini bei ilipangwa kubwa? Je, ili masikini wasinunue au alijulikana hakitauzika?
c.kwanini hakikugawiwa bure? mbona CCM wanapesa ya kumwaga tu? kama ya kununulia mabango na kulipana "miposho"
d.Mbona kitabu hiko hakipo mitaani? ni gharama sana au hakiuziki? kwanini?
e. Je nini kifanyike? kitabu hiko kigawiwe bure?

SOMA ZAIDI: Profesa Nyang'oro aeleza sababu za kuandika kitabu cha JK | IKULU BLOG na https://www.jamiiforums.com/habari-...o-author-of-kikwete-bio-resigns-from-unc.html
Alidhani anaweza kumficha ndovu nyuma ya chandarua.
 
Hata kingetolewa bure nisingekichukua, nijifunze nini humo? Jinsi ya kutengeneza mitandao ya kugombea urais? Kwa sababu ndio jambo kubwa alilofanikiwa (?) maishani kwake.
 
Ilikuwa ni December 11, 2010 pale Kitabu kinachokwenda kwa jina la "A Political Biography of Jakaya Kikwete" kilichoandikwa na anayejiita prof Julius Nyang'oro kilipozinduliwa kwa "mbwembwe" katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam.

Haitoshi tukaambiwa kuwa gharama ya kitabu kimoja itakuwa Tsh 25,000 (ambayo kwa watanzania wengi ni ndoto) lakini pia tukaambiwa vitaanza kuuzwa UDSM, Pia vimeandikwa kwa kiingereza (watanzania wengi hawajui), sasa ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja na miezi miwili tangu kitabu kizinduliwe nataka kufahamu;
a. kimeuza nakala ngapi?
b.kwanini bei ilipangwa kubwa? Je, ili masikini wasinunue au alijulikana hakitauzika?
c.kwanini hakikugawiwa bure? mbona CCM wanapesa ya kumwaga tu? kama ya kununulia mabango na kulipana "miposho"
d.Mbona kitabu hiko hakipo mitaani? ni gharama sana au hakiuziki? kwanini?
e. Je nini kifanyike? kitabu hiko kigawiwe bure?

SOMA ZAIDI: Profesa Nyang'oro aeleza sababu za kuandika kitabu cha JK | IKULU BLOG na https://www.jamiiforums.com/habari-...o-author-of-kikwete-bio-resigns-from-unc.html

Dont talk about people, talk about issues. Hivi nikinunua kitabu nakwenda kukisomea mtaani? Watu ni wale wale , akili zile zile , mawazo yale yale. Mapinduzi ya kifkra kwanza yanahitajika kwa watu kama wewe ili ujitambue wewe ni nani, nini unatakiwa kufanya wakati gani na kwa manufaa ya nani. Unafikiri hii thread yako ina mchango gani kwa Mtanzania?
 
thatha r u ok? mbona hueleweki? umetumwa? je unadhani tusipojua zimeuza copy ngapi how do we know jk anakubalika vipi? i guess you speak out of ur mind!
 
Sijui lengo la Nyang'oro lilikuwa nini katika kuandika kitabu hiki, ila nadhani naye hana integrity; amewahi kukumbwa na kashfa kazini kwake huko North Calorina.

Haiyumkini kutafuta ubunge wa kuteuliwa na uwaziri.
 
Yani hicho kitabu nikipewa nageuza karatasi za kufungia maandazi gengeni.
...mkuu usije thubutu kufanya hivyo,utapoteza wateja wengi sana...mtaani kwetu raia walishagoma siku nyingi kufungiwa vitumbua na mandazi kwa magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Taifa leo,alfu eti wewe ndo utuletee kutufungi vitafunwa kwenye kulasa za hicho kitabu!?,itakula kwako...
 
Watu wakiangalia anayoyafanya Jk juu ya maamuzi yoyote yale, wanaona ni kupoteza hela kununua kitabu hicho, watajifunza nini?
 
Katika kipindi hiki hakuna kitabu cha politician kilichouza zaidi ya kitabu cha Sugu From the streets to parliament na itachukua muda kuvunjwa rekodi.
 
Back
Top Bottom