Unania ya kugombe jimbo lolote 2015 tz kupiti cdm peleka jina lako makao makuu cdm.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Habari wana jf?
nimeambiwa sasa hili,
je kisemavyo kichwa cha habar ni sahihi au?
naomba nifahamishwe na mwenye ukweli huu

Eti kuwa lengo ni kuwapeleka sasa hivi wote aijalishi ni wangap wameomba jimbo moja kwa wananchi kupitia M4C hili kuteleza 2015

Peoplesssssss..... power.
 
Huo ni uzushi
Makao makuu ya CHADEMA haichagui wabunge,na kipaumbele cha chama kwa sasa si mambo ya ubunge,wa nani ana nia au asiye na nia,bali kuendelea kuwakomboa mamilioni ya maskini wa nchi hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom