Unamuitaje Mume wa Shangazi?

Mume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.

Kwa hiyo kwa kuwa huwa anamkaza shangazi ndo huwa mkamwita jina la ajabu ajabu namna ile. mume wa Shangazi ni Mkaza Shangazi

vipi mke wa Mjomba.....nahisi mnamwita Mkazwa mjomba

Kiswahili raha sana.
 
Kwa hiyo kwa kuwa huwa anamkaza shangazi ndo huwa mkamwita jina la ajabu ajabu namna ile. mume wa Shangazi ni Mkaza Shangazi

vipi mke wa Mjomba.....nahisi mnamwita Mkazwa mjomba

Kiswahili raha sana.

LOL!! , jamani mbavu zangu weeeeeeeeeeeeeh eeh! eeh! mgh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom